Azam Sea link-2,Heshima Kwako Mzee Bakhresa

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,552
Ni kwa Ku introduce meli hii kubwa ya aina yake itakayosafiri ka
ti ya unguja,Pemba na Tanga,yenye madaraja matatu,First class,business na economy class.
Meli itakayobeba abiria zaidi ya 1000,Magari 200,yenye tani 700.
Mungu akupe uhai ss.Bahresa kwa yote uyafanyayo hapa Tanzania.
 
Huo mtumbwi ndio unamsujudia bakhresa,tazama kitu hicho.mo dewji anaweza kuzipanga hizi kama vitumbua
Spirit of France.JPEG
Spirit of France.JPEG
 
Kama sijaelewa mkuu, unamaana Mo Dewji ameshaileta, anampango wa kuileta, au nawe unamsujudia kama unavyomsema mwenzako?
Nina maana mo,anuwezo mkubwa kuliko bakhresa,"akiamua",mimi sijawahi kumsujudia binadamu.
 
Back
Top Bottom