Tujikumbushe leo ktk historia .
Risasi 15 zilizoingia katika maeneo tofauti ya mwili wa Jonas Malheiro Savimbi ziliukatiza uhai wake, baada ya miaka 27 ya mapambano ya msituni dhidi ya Serikali...
March 17, 2000 more than 500 members of the African "Movement for the Restoration of the Ten Commandments" entered their small church in Kangngu, within the western region of Uganda. They sang for...
Kuna msemo wa kiswahili unasema Binadamu si watu
Hapan shaka walimaanisha MTU ni kiumbe chenye utashi.
Sasa kwa sisi wabongo nina shaka sana kama UTU wetu ni sahihi,manake mambo tuyafanyayo...
Planned, well coordinated and now the mission has been ACCOMPLISHED.
Wengine mnapokuwa mnafukuza mwizi hakikisheni mnafunga kwanza milango yenu vizuri na kiumakini zaidi na si kuwa tu na...
The Countries Where Gay Marriage Is Legal [Map]
Niall McCarthy ,
Contributor
Data journalist covering technological, societal and media topics
Opinions expressed by Forbes Contributors are...
Naombeni kueleweshwa maana hapa kuna wajuzi wa mambo yote.
Hivi bunge linapokutana kwa mujibu wa sheria zao huwa hawana ratiba ya mambo yatakayojadiliwa? Na kama yapo inakuwaje wanapojadili...
Leo Agnes Masogange amefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka mawili ya kutumia dawa za kulevya aina ya Heroin na Oxazepam. Hata hivyo ameachiwa huru kwa dhamana ya Mil 10 na wadhamini wawili...
Wala Sioni Yakipungua. Ukitazama Mikoa Ya Kaskazini Ambayo Miaka 10 Iliyopita Mito Yake Ilijaa Maji, Tena Yale Masafi. Leo Yamebaki Mabonde Makubwa Na Mawe Kibao Na Maji Kiduchu Kama Ya Mfereji...
Bodi ya mikopo imeongeza kiwango cha makato kutoka 8% mpka 15%. Lengo ni kuboresha mikopo kwa wanafunzi tarajali na pia kusaidia katika kuiweka nchi yetu katika uchumi wa kati wa viwanda hivyo...
Mimi naomba kuiuliza serikali yetu iniambie makanisa haya yanayotoza kodi ya asilimia 10 ya mapato ya wafuasi wake, je sheria gani ya nchi inawaruhusu?
Mimi nilidhani kwa mujibu wa sheria...
wakuu kesho nitakuwa njiani kuelekea Rwanda(kusafisha macho tu and not otherwise) sasa nahitaji kuuliza yafuatayo
1.hotel gani nzuri ya kufikia iliyo cheap kidogo
2.mahali gani naweza badilisha...
Baadhi ya viongozi wa Msumbiji waliolelewa na kukulia Tanzania:
1. #EdwardoMondlane
Kiongozi wa kwanza na muasisi wa chama cha FRELIMO. Alikiunda chama cha FRELIMO mwaka 1962 nchini Tanzania na...
Wakuu, leo nimeenda kununua umeme nikapata unit 22.9 kwa elfu kumi. Wiki tatu zilizopita nilipata 28.2 kwa elfu kumi.
Sasa ina maana umeme umepandishwa kimya kimya? Rais wetu kwa uchungu kabisa...
Habari nzuri zimeenea kwamba meli ya kisasa ya kubeba mizigo ziwa nyasa itazinduliwa hivi karibuni.Cha kufarahisha mno ni kwamba meli hiyo ya kisasa imeundwa hapa hapa nchini na mhandisi mzalendo...
Jamn wana jamii wenzangu ,naomba niulize,mnisaidie pia ushaur,nina nguo yangu naipenda sana,sasa juz kat nmeifua ,nkachanganya na nguo inayochuja,imechujia rangi haitamaniki,sasa kama kuna mtu...
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kisayansi, kunguru ana uwezo wa kuusoma na kuutambua uso wa mwanadamu na kisha kuwaonya wenzake kwa ishara kuhusu uso unaoonyesha hatari.
Kama ilivyo kwamba...
Idara ya Kazi Ofisi ya Waziri Mkuu imetoa tangazo la ajabu sana. Inasema kuna raia wa kigeni wanafanya kazi bila vibali vilivyotolewa kwa kufuata utaratibu.
Idara ya Kazi inasahau kwamba vibali...
MAHAKAMA Kuu Kitengo cha Biashara imeiamuru Kampuni ya Kufua Umeme IPTL kuilipa Benki ya Standard Chartered Hong Kong na Benki ya Standard Chartered Malaysia Dola za Marekani 168,800,063.87...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.