Ni kwa nchi nzima au Dsm tu? NiceIle idhaa pendwa bbc english service imerudi hewani kwa wale wanaopenda habari za duniani muda wote
Exactly Mkuu! Nakuunga mkono.Da! mimi huwa napenda sana kusikiliza hii stesheni, vipindi kama
Outlook,
Outside Source,
witness
na
watangazaji kama Jerry Smitt,
James Coomarasamy,
Dan Daamon, Julian Marshal
na wengineo.
Asante sana kwa kuturudishia haya matangazo ya BBC,