McCain
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 1,169
- 517
Jeshi la polisi Sumbawanga manuspaa wamekamata mihadarati kwenye basi la abiria maarufu kama mabwe safaris yanayofanaya masafa ya kwenda mabwe/mpakani mwa Zambia na Tanzania
Unga huo ulikuwa umepackiwa ndani ya tumbo la samaki aliyepasuliwa na kuwa kama mtu ameagiza samaki aende kwa nduguye.
Unga huo ulikuwa umepackiwa ndani ya tumbo la samaki aliyepasuliwa na kuwa kama mtu ameagiza samaki aende kwa nduguye.