Daktari wa Rais na Waziri Mkuu ni akina nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Daktari wa Rais na Waziri Mkuu ni akina nani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Inkoskaz, Jun 27, 2012.

 1. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Enzi za mwalimu nakumbuka alikuwa mh Dr Mwakyusa,ni utaratibu wa viongozi wakuu kuwa na madaktari hususani Raisi na waziri mkuu
  Je madaktari wa hawa viongozi wa juu wa awamu ya nne ni akina nani? Mbona hawawekwi wazi kama awamu za nyuma?

  Je ni watanzania?? Na kama ni watz ni wazalendo au vibaraka? Je wao wanatimiziwa madai yao au wanalipwaje?
  Ama hawana posho za risk na mazingira magumu coz always wanasafiri na wakuu na kula bata na posho wakati wakuu hao wanatibiwa nje?
  Napenda kuwafahamu tuwaulize wapo kambi ipi katika mgogoro wa mgomo huu!!
   
 2. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,820
  Likes Received: 4,185
  Trophy Points: 280
  Watakuwa ni magamba tu, wanashibisha matumbo yao.
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Na akiteuliwa ndio anakula miaka 10 ikulu?na ni nani huwateua?
   
 4. K

  Kailanga Senior Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 147
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Itakua ni kati ya wale wahindi!
   
 5. k

  kamili JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 714
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Bila ya shaka madakrari wao Apollo Hospital India.
   
 6. D

  DOOKY JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  I guess are white doctors! Sababu huyu Mkuu wa Kaya anawanyenyekea sana hao.
   
 7. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Ndo wale wanaotembea na ambulance jamaa akiwa ziarani
   
 8. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Nitafute nitakupa list ya madocta wote wa hao viongozi
   
 9. g

  gilguy Member

  #9
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanaendaga kwa waganga wa kienyeji hao.wengine nigeria,wengine bagamoyo na wengine sumbawanga.
   
 10. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Prof Maji Marefu.
   
 11. S

  SPANERBOY UDZUNGWA JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 623
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  wako india
   
 12. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Daktari Mkuu wa Rais ni Msafwa toka Mbeya, anaitwa Dr. Peter Mfisi (wapo wengine wasaidizi). Alihangaika sana kumaliza shule ya udaktari bingwa pale Muhimbili. Walikuwa wanambania sana wale maprofesa.
   
 13. g

  gilguy Member

  #13
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamaa wanaendaga bagamoyo wengine sumbawanga na wengine nigeria mwana.
   
 14. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #14
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,631
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  ina maana dr wa dhaifu naye alikuwa dhaifu kwenye kitabu?
   
 15. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #15
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Haupo mbali na ukweli mkuu
   
 16. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #16
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  oh,ndo maana migomo haiwahusu....
   
 17. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  maji hufuara mkondo
   
 18. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #18
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Nitakutafuta Upopo...nahisi wewe ndiye muuguzi wao mkuu
   
 19. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #19
  Jun 28, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Ukitafuta thread ya wakati ule mkweree alipoanguka Jangwani utaona majina yao wote kwani walijitokeza na kutoa maelezo juu ya maradhi yanayomsibu Vasco!!
   
 20. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #20
  Oct 5, 2014
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Bahati mbaya sikuona swali lako, Mfisi hakuwa dhaifu... Ila idara aliyokuwa anasoma imekuwa na tabia ya kuwasumbua watu ambao wao hawakuwa chaguo lao wakati wanaanza udaktari bingwa. Wakikupenda utapeta tu.
   
Loading...