Maajabu ya Mkutano Mkuu wa Leo CCM inampokea mwanachama wao wenyewe.

Pozzers

JF-Expert Member
Sep 14, 2013
337
560
Arfi Said aligombea kura za maoni Ubunge CCM Jimbo la Mpanda Mjini 2015 ...eti Leo wanasema amejiunga na CCM na wanampokea .....What a shame?

Mwingine Moses Machali aliyejiunga na CCM mwezi November 2016 naye amepokelewa eti Leo

Yaani M.kiti Taifa anaenda kupokea Mwanachama wake tena mbele ya TV ...Mbona ajabu sana?

Una maoni gani juu ya usanii huu?
 
Mkuu tupo mbele ya ratiba, wacha tuingize matukio ya kipuuzi ili muda husiende bure.
 
Arfi Said aligombea kura za maoni Ubunge CCM Jimbo la Mpanda Mjini 2015 ...eti Leo wanasema amejiunga na CCM na wanampokea .....What a shame?

Mwingine Moses Machali aliyejiunga na CCM mwezi November 2016 naye amepokelewa eti Leo

Yaani M.kiti Taifa anaenda kupokea Mwanachama wake tena mbele ya TV ...Mbona ajabu sana?

Una maoni gani juu ya usanii huu?
Ni zaidi ya usanii
 
Watz kwa unafiki, utasikia mi wala sina habari na CCM. Ila kumbe ndio wanafuatilia mkutano kuliko hata wenye kadi za CCM. hili nililibaini pia kipindi Magu anapewa uenyekiti wa chama. Kuna jamaa ni Mpambe sana wa chama fulani ila nlishangaa siku hiyo kakaa kwenye TV akiangalia matukio mwanzo mwisho, nikamuuliza umehamia huko, akajibu hamna hawa was***(anatukana) hawana jipya.

Nikajiuliza hawana jipya umetumia zaidi ya masaa manne kuwafuatilia
 
Back
Top Bottom