Mwanza: Mtoto afariki baada ya kuangukiwa na jiwe

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,787
Mtoto mmoja jijini Mwanza amefariki baada ya kuangukiwa na jiwe kichwani baada ya kuporomokea kwenye nyumba yao wakiwa wamelala ndani.

Chanzo: Mwananchi

index.jpg
 
Sehemu gani mkuu? Mwaka juzi tena liliporomoka liaua baba na mama usiku wamelala maeneo ya Sinai
 
Enzi za Njoolay akiwa RC alianzishaga kampeni ya kuwahamisha watu huko milimani lakini hakufanikiwa. RIP Mtoto.
 
Mimi nashangaa sana akili za watu, mfano ktk wilaya moja huko Mwanza inaitwa Sengerema. Watu wanabanana kujenga mlimani kweye mawe wakati maeneo tambarare ni mengi, viwanja vingi tu tena bei rahisi kweli ! Kuna mlima unaitwa Jeshini unakaribia kuenea nyumba ! Na wanaofanya hivyo wengi ni watu walio na uwezo.
 
Ili ni eneo LA Buzuruga miti mirefu jiwe liliporomoka usiku midnight
 
Apumzike kwa amani mtoto huyo.

Mungu aepushie mbali tetemeko la ardhi mwanza.

Huwa sipati picha yale mawe yana poromoka
 
Back
Top Bottom