Habari wakuu
Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.
Amewakosea nini?
Alizungilusha yanZero yani, alipiga zero yani,ziro yani
Bashite ndo brand kubwa hapa tz kwa sasa
Mbona huulizi clouds kihere here chote cha kuomba ufafanuzi kutoka kwa mkuu wa mkoa kimewaisha!Habari wakuu
Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.
Amewakosea nini?