Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

  • Redirect
* Obama then the most powerful person on earth alitoa birth certificate pale wamarekani walipohoji uraia wake, huyu mkuu wa mkoa Dsm anayesemekana alipata sifuri yeye ni nani asitoe cheti chake...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wakuu! Mara nyingi nimemsikia Rais Magufuli akisema sana haya maneno, "Niombeeni" au "Mungu nisaidie"... Mara nyingine nimemwona akiomba mwenyewe, wakati amemtembelea Bi. Kijo. Niliwaza na...
1 Reactions
Replies
Views
Wale mlio karibu na huyu mtangazaji wa Clouds tv Kipindi cha 360 Samuel Nathaniel Sasali a.k.a Emolo tafadhalini hebu jaribuni kumtafutia Kazi kwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwani kwa...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Kwanza niseme, siungi mkono cheti feki au mambo yoyote bandia maana ni kinyume na taratibu za nchi yetu tulizokubaliana ikithibitika pasipo shaka hatua kali zichukuliwe... Ni maswali...
3 Reactions
69 Replies
5K Views
  • Redirect
Rais amemuonya Mbunge aliyeenda kumuona Lema gerezani kuwa huo ni ZAIDI YA USALITI Kwa Chama Tumefika huku? Si alisema atakua Rais wa WOTE!
0 Reactions
Replies
Views
Hivi sasa hata mtoto mdogo ukimtamkia neno Koromije atakwambia ni nini. Hali hii imechochea umaarufu mkubwa kwa shule inayodaiwa kiongozi mkubwa na mwenye jina kubwa hivi leo kusomea japo. Kwa...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Wabunge wanapaswa kujitambua na kukataa vitisho Mbunge si mtetezi wa Serikali.
0 Reactions
1 Replies
605 Views
Angalia hii katuni ndio utajua namaanisha nini.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hbr wana jf kuna mwalimu huko mkoa wa Tanga kanilalamikia mpaka anasema anafikiria mengi huku akisema anaanza kuichukia kazi baada ya kutendewa manyanyaso na watu flani wenye nguvu ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bus,kampuni ya Mombasa Raha imepata ajali wilayani Mbogwe mkoani Geita asubuhi hii na kuua Dereva wa Bus hilo ndugu Mlingwa. RIP dreva bwana Mlingwa Picha zaidi zitawafikia punde Source: Moja ya...
0 Reactions
72 Replies
22K Views
Elephants are highly intelligent animals, and can express compassion, self-awareness, and grief. Elephants often play together and sometimes show affection through a “hug”- wrapping their trunks...
1 Reactions
0 Replies
426 Views
  • Redirect
Kuna Taarifa kwamba Mtuhumiwa hakuwa na lengo la kurudi; lakini punde baada ya mch. ngwajima kumuanika hadharani yule msichana wake Wa kwanza (mchumba Wa kwanza) ambaye alikuwa ameshamtamulisha...
8 Reactions
Replies
Views
Katika maisha ya kila siku unakuta mtu anahangaika na anafanya Kazi kwa bidii sana ila hana maendeleo. Akifanya Kazi wiki wiki mbili anatimuliwa bila kosa. Akishika pesa tatizo linatokea either...
1 Reactions
38 Replies
10K Views
  • Redirect
Akizungumza mubashara muda mfupi tu uliopita Mheshimiwa Rais JPM amesema kuwa amefurahushwa kujua kuwa Msanii Diamond ni mwana CCM na kwamba hata yeye anampenda mno na kwamba anakipenda mno Kituo...
0 Reactions
Replies
Views
Naipongeza serikali kwa kupiga marufuku viroba. Afya ya vijana hapa mtaani imeanza kuimarika lakini bado kuna wauza gongo hasa usiku bado wanatamba. Ile amri ya kuwakamata madiwani na wenyeviti wa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ninahitaji sana kujua interview ya kuingia kidato cha tano kwenye ile SHULE nzuri sana iliyoko Arusha ya Cornerstone leadership academy kwa Dar itafanyika lini na itafanyikia sehemu gani?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
March 11, 2017 Zanzibar, Tanzania NDEGE KUBWA AIRBUS a350 ETHIOPIAN AIRLINES KUCHANGIA PATO LA UTALII Ndege kubwa ya shirika la ndege la Ethiopian Airlines aina ya Airbus A350XWB imetua ktk...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
  • Redirect
Wapendwa wana jukwaa hili naomba kujua maana ya double standard 1.athari zake katika jamii hasa kwa kiongozi mwenye huruka hizo. 2.faida ya double standard katika jamii. 3. Linganisha suala la...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Huu ni muda wa kusimama kwenye ukweli na viongozi wanapaswa kuonesha njia. Huwezi kutuhumiwa tuhuma nzito halafu ukakaa kimya tu yani unawaona hawana akili.
0 Reactions
Replies
Views
Kwa hali ilivyo sasa, suala la ajira limefumbiwa macho na wanaohusika kutoa vibali vya ajira wala hata hawana dalili zozote kwamba hili suala litapatiwa ufumbuzi hivi karibuni zaidi ya kusema tu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom