Shupavu hawezi kuwakimbia wanaume wa Dar

jamiiyamtimkavu

JF-Expert Member
May 20, 2011
274
192
Habari wana JF
Hata kama wewe ulikuwa unashika mkia mkoani, huwezi shindwa kuongoza wanaume wa Dar.
Wao hata wakijua udhaifu wako sana sana watakusuta katika ibada na mitandao ya kijamii.

Hongereni sana wanaume wa Dar, Hivi kuna mwanaume anayeweza kufikiri kuwakimbia wanaume wa Dar, labda na yeye awe wa Dar.
 
Back
Top Bottom