HII nimeikuta kwa kiongozi wa kikosi cha utetezi wa kweli.... Mwanamama korofu kiboko ya wababe.... Mange Kimambi akijaribu kutuelezea uzinduzi wa leo wa barabara
Hivi hii barabara ya kati iliyoongezwa kutoka mwenge to morocco mbona bado inavigema?
Na vipi kuhusu barabara ya Mwenge to tegeta? Mbona wamechimba mashimo na kuweka vizege vyao? Kulikua na haja gani ya kufanya hivyo kama taa hazipo tayari?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.