Juma wa Juma
Senior Member
- Jan 13, 2017
- 150
- 221
JE INAWEZEKANA MUNGU NDIYE AMEAMUA KUMUUMBUA GWAJIMA AU GWAJIMA HAKUMPANGA VIZURI YULE MAMA??
Nimetazama kwa makini video (video nimeiweka kwenye comment) inayomuonyesha Mchungaji Gwajima akimuombea mama mjamzito aliyetambulishwa kuwa amepandwa na majini huku akitumia maneno mazito mpaka ya kuhukumu na kutaka kutoa roho ya mtu.
Lakini kilichonivutia ni pale Mch. Gwajima alipoanza kuyaamuru hayo aliyoyaita majini katika mwili wa huyo mama akiyataka yamtoke huyo mama yamuingie yule kiumbe (Makonda) huku akidai hicho kiumbe kimeharibu Dar.
Nilitegemea yule mama au sauti ndani ya yule mama inayotafsiriwa kama sauti ya majini ingetii amri ya Mch. Gwajima maana Gwajima anasema neno lake ni neno la Mungu, na amri yake ni amri ya Mungu.
Kitendo cha yule mama 'sauti ya jini' kujibu kuwa hapo ambapo Gwajima aliamuru hayo majini yaende HAPAINGIKILI tena kwa sauti, Gwajima akarudia tena kuuliza ili apate uhakika wa jibu la kwanza, lakini Sauti ikarudia tena majibu yale yale kuwa 'HAINGILIKI', baada ya majibu hayo Gwajima akasema haya Nenda Ukamuingie mtoto wake, inaonekana Gwajima amesahu kuwa Makonda hana mtoto, yaani ni sawa na alivyosema kuwa ana cheti original cha Makonda akiwa amepata Ziro kidato cha nne.
Kitendo kile ukikitafsiri kwa makini utagundua moja kati ya haya, moja huenda Gwajima hakumpanga vizuri yule mama au Mungu ameamua kumuumbua Gwajima kwa hapo unapotaka kuyatuma hayo majini yako siyo mahala pake.
UNAPOTUMIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE HAI, JINA LA MUNGU WA MBINGUNI KUYAAMURU MAJINI YAMUINGIE MTU |¦| Lakini Majini Yakagoma Kuwa Huko Hakuingiliki Inatoa Tafsiri Kuwa Mungu Ameyakataa Maombi Yako Hadharani Maana Hayampendezi