Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds tv kimepoteza mwelekeo kabisa ukilinganisha na enzi za muasisi wake Hudson Kamonga. Hivi sasa kimegeuka kuwa kijiwe cha kahawa kila mtangazaji...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Tangazo kwa wale waliotuma maombi ya uhakiki kabla ya Tarehe 06/06/2019, wanaombwa wabadili Nywila zao kwenye mfumo wa uhakiki ili wapate majibu yao ya uhakiki; kwa kubofya reset password au Je...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi karibuni kuna sehemu nimeenda ni maeneo ambayo sio katikati ya mji lakini chakushangaza nimepaki kagari kangu akaja kijana wa malipo ya parking kuweka risiti yake,kiukweli nilisikia hasira...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nimepita kule uelekeo wa Gerezani na kukuta barabara ambazo awali zilikuwa na matope na mashimo zimetandikwa lami murua kabisa, underground drainage pana kabisa, mataa ya barabarani ya solar...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Muda mchache uliopita gari aina ya Brevis limepoteza mwelekeo na kuvamia duka Gari lilikua mwendo kasi likitaka kugongana na greda caterpillar na kulikwepa kisha kuparamia duka Hakuna vifo.
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Watoto (walimu ajira mpya) wameripoti mwezi May, lakini mpaka leo, ni miezi miwili sasa hawajapewa pesa ya kujikim, achilia mbali mshahara ambao wengine hawakupata kabisa kwa baadhi ya H/shauri...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo nimepita mtaani kwangu, naona mtu anaishilia kwenye kona. Nilibahatika kuona miguu tu suruali imabana miguu nikajua ni mwanadada mrembo. Ila nikawa na mashaka maana ule utege kama wa kiume...
28 Reactions
95 Replies
10K Views
Nashindwa kuelewa kwanini Bodi ya mkopo Tanzania inawaumiza watanzania kwa kiasi hicho.Nimeshangaa sana kuonana deni lazidi kuongezeka badala ya kupungua.Sasa nahisi itakuwa wanafanya biashara sio...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ziara ya RC Hapi Kusikiliza na kutatua kwro za wananchi sasa ni zamu ya wilaya ya mafinga wote mnakaribishwa wenye migogoro ya ardhi na mingineyo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
2K Views
naipenda sana facebook ni mtandao ambao asilimia kubwa watu wanaishi maisha halisi ukitaka kuamini angalia picha za rafiki yako wa fb angalia na picha alizopost insta. ukitaka kupata mkopo...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Unaweza kuendelea kuishi maisha ya dhambi na anasa za dunia, unajindangaya kwamba Mungu akuoni au unaamini kwamba Mungu aweze kuhukumu ulimwengu unaona wanao tenda dhambi ni wengi kuliko...
3 Reactions
2 Replies
740 Views
Ni mbinu za kisayansi za CCM zinafanya kazi,chama kinachopendwa bila kutegemea polisi wala wakurugenzi wa kusimamia chafuzi na tume ya uchafuzi:pasha pasha pasha nchi ya demokrasia hii jamani eti
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Sheria ziko wazi, na kibari cha makanisa kinasimamiwa na wizara ya mambo ya ndani! Makanisa bubu yametapakaa sana nchini! wanapiga makelele sana usiku kumkemea shetani utazani waliambiwa shetani...
11 Reactions
74 Replies
7K Views
Unatembea na jasusi mfukoni? Kwa watu wengi duniani kuwa na simu za kisasa za aina ya smartphone ni fursa ya kufikia ulimwengu lakini maswali yameibuliwa ikiwa fursa hiyo inatoa mwanya wa...
25 Reactions
42 Replies
9K Views
Wakuu habari. Naomba kufahamishwa namna na gharama zote za nauli kutoka Mbeya mjini mpaka chuo cha uuguzi cha serikali cha Mbozi mission. Nimeambiwa kipo mbele kidogo ya Mlowo Mbozi ila...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kumekuwepo na tabia ya baadhi ya wateule wa rais kudharau kazi zinazofanywa na watumishi wa kada mbalimbali mkoani kwake Yaani unakuta mkuu wa mkoa yupo kwenye kikao na watumishi wa mkoa wake...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Japokua wanamapungufu mengi wanawake wanaongoza/kukubalika mambo makuu haya 1.Saving 2.Bargaining power
1 Reactions
4 Replies
823 Views
Assalaam ndugu zangu wana Jf, Natumai baadhi yenu mko salama kabisa,na wale wenye maswahibu mbalimbali Mungu awafanyie wepesi Inshaa Allah. Kwanza kabisa nitoe shukran zangu za dhati kwenu kwa...
42 Reactions
162 Replies
24K Views
Kwakweli nimeona wengi wakisema ukiwaendekeza ndugu hutafika popote, siwezi sema sitafika popote ila kwa suala la ndugu mimi ni mmoja wapo wa waathirika, kiwango cha pesa nnachotumia binafsi ni...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Muda mchache baada ya Taifa stars kufungwa na majirani zetu Wakenya huko Misri kwenye mashindano ya kabumbu ambapo Taifa stars inashiriki kwa mara ya kwanza baada ya miaka 40.... Limetokea jambo...
13 Reactions
52 Replies
4K Views
Back
Top Bottom