Watu wanaliofoji vyeti hivi Kwa nini huwa wanabahati hivi? Batsman nifoji na mimi

Kwa sababu akili yao ni virgin inakuwa haijatumika kujua mambo hiyo wanatumia vyema kujipendekeza kwa wakubwa hili waonekane wema na wachapakazi na huwa wako tayari kufanya lolote hats kama halikubaliki hili kuwaridhisha wakubwa- Daudi Bashite case study.
 
Wadau nimeona niilete kwenu!
Katika kusaka maisha, kuna jamaa zangu kadhaa ninao wajuwa walifoji cheti; wale jamaa wote sahivi wametusua vibaya! Wana maisha ya maana!
Mmoja alifoji vyeti akaingia bandarini, wengine wizarani, mwingine yupo ikulu aanakula maisha! Yaaani wooote jamaa wapo vizuri;
Imenibidi Leo niwaze sana hivi kwanini mijitu inayofoji vyeti inafanikiwa haraka namna hii jaman!?
Kuna jingine lilifoji cheti sahivi liko tanroad huko mbeya! Yaaani kila sehem ambapo nimewahi shuhudia jitu limeenda na vyeti vya kufoji hakuna hata sehemu moja palikwama!
Mwenzenu nimekata tamaa sitaki tena kusoma; nataka na Mimi nifoji kama mbwai tutajuana hukohuko potelea mbali. Naombeni ushauri wenu wadau.
Ukiambiwa uwataje una ushahidi au ndo unaongea tu pasipo kua na ushahidi hujui hilo ni kosa la jinai kishelia
 
Kwa sababu akili yao ni virgin inakuwa haijatumika kujua mambo hiyo wanatumia vyema kujipendekeza kwa wakubwa hili waonekane wema na wachapakazi na huwa wako tayari kufanya lolote hats kama halikubaliki hili kuwaridhisha wakubwa- Daudi Bashite case study.
Umeniwahi
 
Wadau nimeona niilete kwenu!
Katika kusaka maisha, kuna jamaa zangu kadhaa ninao wajuwa walifoji cheti; wale jamaa wote sahivi wametusua vibaya! Wana maisha ya maana!
Mmoja alifoji vyeti akaingia bandarini, wengine wizarani, mwingine yupo ikulu aanakula maisha! Yaaani wooote jamaa wapo vizuri;
Imenibidi Leo niwaze sana hivi kwanini mijitu inayofoji vyeti inafanikiwa haraka namna hii jaman!?
Kuna jingine lilifoji cheti sahivi liko tanroad huko mbeya! Yaaani kila sehem ambapo nimewahi shuhudia jitu limeenda na vyeti vya kufoji hakuna hata sehemu moja palikwama!
Mwenzenu nimekata tamaa sitaki tena kusoma; nataka na Mimi nifoji kama mbwai tutajuana hukohuko potelea mbali. Naombeni ushauri wenu wadau.
Foji tu najua hapa TZ hatuna system ya kung'amua fojaji
 
Back
Top Bottom