mzee wa mazabe
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 843
- 627
Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano alipokuwa katika sherehe za kuwaapisha baadhi ya wateule wake pale Ikulu alisema kwamba wauza unga sio watu wa mchezo mchezo maana wanaweza kubadili hata sauti yako na wakasema ulisema hivi au vile wakati ukusema na wakatupa mitandaoni.
Nilikuwa sijamuelewa kipindi kile lakini kwa sasa naanza kumuelewa maana tangia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alipoamua kupambana na watu hawa, wengine bila hata ya kujali wao ni viongozi wa dini, na kwa upande wa dini tunaambiwa tunatakiwa kusamehee saba mara sabini.
Sasa yeye yule kiongozi wa dini bila hata kujua na kukumbuka alipomsema mwenzie amekula maharage ya wapi, mara akavae pampasi lakini yule kiongozi mwenzie wa dini alikaa kimya na kusimamia maandiko ya kumsamee, sasa huyu kiongozi wa dini alieamua kupambana na na RC Makonda kuwa hana vyeti mbona wakati wa uhakiki akuleta hoja hiyo, hawa manabii wa uongo nadhani siku zao zimefikia mwisho.
Watu wengi humu tunamu attack sana mhe.RC Makonda ina maana katika mitaa yenu hamjawai kuona watu walioathilika na madawa? Napenda niwakumbushe kwamba Mamlaka ndio inayoamua nani awe tajiri na nani awe maskini, tusijaribu kupambana na mamlaka ni hatari sana kwa maisha yetu.