Ndengaso JF-Expert Member Jul 18, 2014 7,365 13,202 Mar 13, 2017 #1 No content to show Attachments M4H00709_31098.jpg 27.1 KB · Views: 74 M4H00709_31031.jpg 22.2 KB · Views: 69 M4H00709_30430.jpg 27.4 KB · Views: 70 M4H00709_39072.jpg 29.2 KB · Views: 75
cerengeti JF-Expert Member Jan 19, 2011 3,878 1,625 Mar 13, 2017 #2 Sinza na kijitonyama pia hakuna umeme.
princess ariana JF-Expert Member Aug 19, 2016 8,685 17,288 Mar 13, 2017 #5 ubungo mvua inacharaza na umeme upo
Kisu Cha Ngariba JF-Expert Member Jun 21, 2016 22,135 48,821 Mar 13, 2017 #6 princess ariana said: ubungo mvua inacharaza na umeme upo Click to expand... Ubungo ipi?
M movichboy JF-Expert Member Nov 27, 2011 289 346 Mar 13, 2017 #8 Kimara Temboni mvua Kali sana No power
princess ariana JF-Expert Member Aug 19, 2016 8,685 17,288 Mar 13, 2017 #9 kisu cha ngariba said: Ubungo ipi? Click to expand... kibangu
Kisu Cha Ngariba JF-Expert Member Jun 21, 2016 22,135 48,821 Mar 13, 2017 #10 princess ariana said: kibangu Click to expand... Sawa
sister JF-Expert Member Nov 23, 2011 9,014 6,847 Mar 13, 2017 #11 mbezi shamba mvua inanyesha, ila si sana ila radi ndiyo za kumwaga mpaka naogopa.
Capslock JF-Expert Member May 1, 2016 3,089 4,810 Mar 13, 2017 #12 Mabibo hosteli umeme upo kama kawa.
Kisu Cha Ngariba JF-Expert Member Jun 21, 2016 22,135 48,821 Mar 13, 2017 #13 sister said: mbezi shamba mvua inanyesha, ila si sana ila radi ndiyo za kumwaga mpaka naogopa. Click to expand... Polee,vumilia.
sister said: mbezi shamba mvua inanyesha, ila si sana ila radi ndiyo za kumwaga mpaka naogopa. Click to expand... Polee,vumilia.
sister JF-Expert Member Nov 23, 2011 9,014 6,847 Mar 13, 2017 #14 kisu cha ngariba said: Polee,vumilia. Click to expand... kwa kweli sina namna ni kuvumilia tu.
Ndengaso JF-Expert Member Jul 18, 2014 7,365 13,202 Mar 13, 2017 Thread starter #16 Daudi Mchambuzi said: Uko mwaka wa ngapi? Click to expand... Mwaka wa 3, kwanini umeuliza?
Chakwale JF-Expert Member May 17, 2015 1,069 1,566 Mar 13, 2017 #17 Huku Koromije mvua za hapa na pale,radi zisizoisha,upepo mkali,Giza Nene Na baridi ya maana! Natafuta namba ya askofu wa uzima atuombee kukuche Salama
Huku Koromije mvua za hapa na pale,radi zisizoisha,upepo mkali,Giza Nene Na baridi ya maana! Natafuta namba ya askofu wa uzima atuombee kukuche Salama