Kwa wanaJamii wote
Salamu, Natumaini kuwa Jumapili hii imewakuta wote mkiwa wazima wa afya.
Kama tulivyoshuhudia kuwa kitengo cha Parking katika kila Jiji na manispaa zetu kimekwisha...
Tangu nilipoanza utetezi wangu wa Dr. Harrison Mwakyembe, nimetoa majibu kwa watu wengi na kutoa hoja nyingine katika kurasa mbalimbali. Vile vile kuna mambo mengine ambayo ningeweza kuyaonesha...
Katika vyombo vya habari nimesikia tamko la Waziri Mkuu Pinda kutoa kauli ya kutaka kodi ipunguzwe kwenye mishahara. Kwangu nimeona Waziri Mkuu amewakumbuka wafanyakazi. Kwa sasa kodi ni kubwa...
JF, naomba nipate historia ya kabila la Warangi, ambao ni wenyeji wa wilaya ya kondoa. Pamoja na mila, dasturi na tabia zao (Zinazo kubalika na zisizo kubalika na wengine)
Tanesco should start selling the Mineral Oil as a Product!
Apparently this Oil is not very expensive, so by selling it directly to the public there would be no market for stolen Oil, or at least...
New gold zone found in Tanzania
THISDAY REPORTER & AGENCIES
London
THE AIM-listed mineral exploration and development company Obtala Resources Plc has identified a new gold zone in its...
Ndugu zanguni
Jana Usiku kuna maeneo nilipata nafasi ya kutembelea baada ya kusikia habari za kutatanisha kuhusu maeneo haya kwanza nilifika kimboka by night pale Buguruni Sheli , Nilipotia...
Gazeti jipya kabisa la Kiswahili linatarajiwa kuingia katika vibanda, maofisi, na mitaa ya Tanzania kuanzia tarehe 31 Oktoba mwaka huu. Jarida hilo la "Raia Mwema" litakuwa na habari mbalimbali...
Habari za Kitaifa Habari zaidi!
ATCL kulikoni?-
Gloria Tesha
Daily News; Thursday,March 19, 2009 @19:10
Siku mbili baada ya gazeti hili kutoa habari za mchakato wa kustaafisha kwa maslahi...
napenda kuchua nafasi hii kutoa malalamiko yetu sisi wafanyakazi wa NIMR juu ya bodi ya wakurugeni katika taasisi yetu.kwani bodi hii haijateuliwa tangu mwaka 2007 mpaka leo na hatujui sababu...
Date::3/17/2009
Wanafunzi UDSM wagomea uteuzi wa viongozi Daruso
Ellen Manyangu na Felix Mwagara
Mwananchi
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) wamegoma kuchagua uongozi...
Br n sis..kumradhi lakini mwisho wa siku nitakuja na mada moja nzuri zaidi ya hizi hasa katika kuelekezana hoja za mahusiano....kuna baadhi ya watu wamekuwa wakilalamika wachungaji mapadre/mashehe...
Nimegundua hii blog ambayo ina magazeti ya Tanzania katika hali yake halisi. Kurasa za magazeti hayo zimekuwa scanned na uku click unaweza kukuza kurasa kwa kusoma kwa urahisi. Hongera Kennedy...
Call for Concept Notes on Reduced Emissions from Deforestation and
Forest Degradation (REDD)
Royal Norwegian Embassy wakishirikiana na Serikali ya Tanzania
wameitisha michangamanuo mifupi...
Uchunguzi umeanika uovu ambao umekita mizizi.
Hii imekuwa wiki yenye shughuli muhimu katika harakati za serikali ya Tanzania kupambana na vitendo vya mauaji ya Albino katika maeneo ya kanda ya...
Mallya wa Wangwe afungwa miaka 3
Martha Mtangoo, Dodoma
Daily News; Wednesday,March 18, 2009 @18:36
Kijana Deus Mallya (27) aliyekuwamo kwenye gari lililopata ajali na kusababisha kifo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.