Historia Ya Warangi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Historia Ya Warangi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saljiv, Mar 20, 2009.

 1. Saljiv

  Saljiv Member

  #1
  Mar 20, 2009
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 16
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  JF, naomba nipate historia ya kabila la Warangi, ambao ni wenyeji wa wilaya ya kondoa. Pamoja na mila, dasturi na tabia zao (Zinazo kubalika na zisizo kubalika na wengine)
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mtafute kimbisa, zabein mhita, kova, mke wa lowassa, na uende mambo ya kale au nyang'anyi, jaji lubuva, wale wahandiri kila chuo hapa tz au uende kwa encyclopedia etc.

  mjaribu na susuviri, masaka na wanaofanana na hao

  ukishindwa ujue umeanza vibaya
   
 3. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Pia nanda Maktaba kuu kuna vitabu vimeandika Historia ya Warangi au tembelea Wilaya ya Kondoa,Dodoma.
   
 4. Saikosisi

  Saikosisi JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2009
  Joined: May 4, 2007
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  1. asili yao kaskazini- ethiopia
   
Loading...