Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dada mwafrika wa kike napenda kukupongeza kwa kilio chako ulichokuwa unapeleka kwa JK, naona maono yako sasa yametimia. Sioni sababu za kuendela kuwa na baraza la mawiziri ambalo mwenyekiti wake...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kila kukicha utasikia wananchi wenyehasira wamempiga/wapiga au hata kuwachoma Moto vibaka waliokuwa katika jaribio la kuiba/ au walioiba vitu kama simu, kuku n.k. vitu ambavyo hata katika sheria...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natumaini kabisa hao walioitia nchi hasara ya mamilioni ya USD kupitia mikataba FAKE na RUSHWA ni WAUHAJI KABISA.........Shetani anawasubiri kwa mikono yote aliyonayo waende kuchochea huo moto...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimesoma hadithi hii kutoka mojawapo ya magazeti ya udaku ya bwana Shigongo; sina uhakikai kama ina ukweli wowote. Kama ni kweli basi serikali yetu ina miamba kweli kweli kuhusu mambo haya ya...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Please move this to maoni! RESIGN!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
CCM imetimiza miaka 31 tangu kuanzishwa kwake. Pengine sherehe hizi mwaka huu ndio zitazokuwa za kimya kabisa kupita miaka mingine yote. Hongera sana CCM KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wazawa wanalea Ufisadi Awadhi Kimito Februari 6, 2008 Raia Mwema JOSEPH Mihangwa ameeleza jinsi gani ufisadi unavyolelewa na dhana ya kumilikishwa uchumi. Ametoa mifano mingi ambayo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zilizonifikia kutoka Dodoma zinasema kwamba JK atasimamia kikao cha nidhamu cha CCM.... inaonekana kunakauwezekano EL ana kina karamagi wakalamba dume. Tunasubiri maana everything is still...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sasa embu niambieni wana JF, HOSEA na MWANYIKA ambao report imepropose wawajibishwe... ni part of the 3 man team ya kuchunguza BOT and kuprosecute mafisadi wengine. Sasa itawezekana kweli kistaili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa yeyote mwenye ufahamu wa kiwango cha kutoa kabonidaosadi (CO2) kwa magari katika tanzania ni kiasi gani? kwa mfano nchi nyingi za ulaya ni 170g/km.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nimeshindwa kuvumilia imebidi niulize maana sijui kuna nn kwa baadhi ya wanachama wenzetu wana rangi ya kijani. jee ni njia mpya ya kuroa credit au kuna nnnnn? au ni ombi maalum kwa wanachama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Bad Domain Names All of these are companies that didn't spend quite enough time considering how their online names might appear - and be misread... 1. Who Represents is where you can find...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Crested Butte, Colorado: The Rev Tim Clark uses a snow blower to clear the entrance of the Union Congregational Church Photograph: Nathan Bilow/AP
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Taarifa rasmi zilizotolewa na waziri wa utalii na maliasili dakika mbili zilizopita wakati anatoa majumuisho ya hoja za utalii ni kuwa Rais Bush atatembelea Ngorongoro crater wakati wa ziara yake...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Usiwe mwongo kama KARAMAGI Mwizi kama BALALI Mbishi kama ZITTO Makelele mengi yasiyo na maana kama MAKAMBA Mbabe kama SITTA Usihukumu kama MUDHIHIRI Usiue kama DITOPILE...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ama kweli hawa waingereza ni ndumila kuwili Revealed: British plan to build training camp for Taliban fighters in Afghanistan By Jerome Starkey in Kabul Monday, 4 February 2008 The...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Fetal Soup Served in Chinese Restaurants The Seven Sorrows of China gives heart-wrenching accounts of the brutality of China's one-child policy By Thaddeus M. Baklinski February 1, 2008...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jimmy Massey in Iraq after the US invasion took placeThe Testimony of a US ex-marine, who went to fight in Iraq Jimmy Massey: Jimmy Massey in Iraq after the US invasion took placeThe...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hii miswada ya Electricity Act, 2007 na Petroleum Supply Act, 2007 ambayo Waziri Karamagi alikuwa aisome kwenye kamati ya Bunge inaweza kupatikana ili nasi tujue kilichomo. JF inatembelewa na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Napenda kuuliza juu ya sababu zilizopelekea kufa kwa wingi kwa Dolphins katika fukwe za Visiwa vya Zanzibar mwaka 2006. Vifo hivyo viliacha maswali mengi pasipo majibu. Aidha SMZ, ikishirikiana na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom