New gold zone found in Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

New gold zone found in Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BAK, Mar 17, 2009.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,609
  Likes Received: 82,182
  Trophy Points: 280
  New gold zone found in Tanzania

  THISDAY REPORTER & AGENCIES
  London ​


  THE AIM-listed mineral exploration and development company Obtala Resources Plc has identified a new gold zone in its Buckreef licence in the Lake Zone of Tanzania as results from new soil sampling tests resolved a considerably larger target than defined by the original sampling in 2008.

  The licence is positioned ideally in what the company describes as a ’world-class’ gold producing region, with operations including the Geita Gold Mine run by South Africa’s Anglogold Ashanti close by.

  Obtala said yesterday it had identified a 4-kilometre long, gold-in-soil, geochemical anomaly in the area, ’representing an exciting new zone of mineralization that has not been previously tested or discovered by either trenching or drilling.’’

  The company said it remained fully funded to continue its exploration programme over all its licence areas for 2009 and thereafter.

  The Buckreef licence covers an area of 16.46 sq km located 120km southwest of Mwanza on the shores of Lake Victoria, and 4km west of the Buckreef Gold Mine currently being evaluated by IAMGold.

  It is estimated that there is gold in soil up to 704 parts per billion (equivalent to 0.704 g/t) in the area.
   
 2. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2009
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  More misery on the way
   
 3. KUNANI PALE TGA

  KUNANI PALE TGA Senior Member

  #3
  Mar 17, 2009
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mafisadi watazidi kunona....SISI TUTAENDELEA NA KUZIDI KULA MAJANI...
   
 4. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2009
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Sisi ni matajiri sana ila mizengwe ya hapa na pale ndiyo inayoturudisha nyuma.Sasa sikiliza mkataba utakavyokuwa wa aibu yaani kama tumelogwa vile!!Mimi nasema hivi,hapo kuna mawili watakufa watu na mkataba/mikataba njaa tupu.
  Sijui kama tutapata maslahi ya kujivunia;kama watu wenyewe tunatumia nguvu na gharama kubwa kukusanya kodi katika magenge,maduka na masoko sasa kwanini bajeti isiendelee kuwa tegemezi?Deal za maana ndiyo hizi lakini tunawagawia matajiri.
   
 5. J

  Jmpambije Member

  #5
  Mar 17, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ni mapema mno kuongelea suala la mkataba. kwa soil results ni vigumu kujua kama watapata kiasi cha kutosha kufungua mgodi au la. waki-drill na kufanya resource estimation ndipo tutajua kuna mali ama la.
   
 6. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mpambije madhahabu Mengi tuuu ya kumwaga tatizo ni kuwa yooote anayafaidi Sinclair and his allies, wangosha wote wanaishia kutembelea kandambili zilizo isha kisiginoni japo wanaishi juu ya dhahabu!

  Sijui tumelaaniwa masikini!!!!!
   
 7. Ochu

  Ochu JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2009
  Joined: May 13, 2008
  Messages: 972
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  it is not for us BUBU....it is for Mafisadi
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,609
  Likes Received: 82,182
  Trophy Points: 280
  Hili la rasilimali zetu kuendelea kuwanufaisha mafisadi wa ndani na nje ya nchi tumelikataa na ndiyo maana tunajaribu kila tuwezalo ili kuhakikisha kwamba mikataba ya rasilimali zetu inatunufaisha Watanzania badala ya kuwanufaisha wachukuaji alias mafisadi pekee
   
 9. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #9
  Mar 17, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Asante Nyerere kwa kututunzia rasilimali hizo. Ungeamua kuwa FISADI ungeweza kujinufaisha pekee yako. Ninawalaumu viongozi wetu wa sasa kwa kufanya rasilimali za watanzania ni mali ya wageni na wala nchi. Kugundulika kwa dhahabu hii hakuna faida kwa watanzania. Je Watanzania wanafaidika nini na machimbo ya dhahabu yanayochimbwa sasa?.
   
 10. K

  Koba JF-Expert Member

  #10
  Mar 17, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  ...realy really bad news!
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Mar 17, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Nyamaza wewe bad news kivipi?
   
 12. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #12
  Mar 17, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Shouldn't we at least leave "some" underground treasure for the future generations to find? It seems like we don't want to leave any "stone unturned" in our life time.
   
 13. Marlenevdc

  Marlenevdc Member

  #13
  Mar 17, 2009
  Joined: Oct 1, 2008
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Indeed, more misery on the way for common man as politicians would like as usual to pocket 5% and let whoever it is to take the lion's share!
   
 14. Geeque

  Geeque JF-Expert Member

  #14
  Mar 17, 2009
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 848
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Majambazi na Mafisadi wa CCM wanashangilia ulaji mpya sasa hivi.
   
 15. Black Jesus

  Black Jesus JF-Expert Member

  #15
  Mar 17, 2009
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tupelekeeni salamu zetu kwa watawala mara hii watukumbuke na sisi tumeshachoka maisha haya ya kubahatisha huku tukiwa tunawangalia wao na familia zao wa kipeta mitaani na mashangigi walala tukiwa tunauziana maneno ili mtu upate mkono kwenda kinywani
   
 16. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #16
  Mar 17, 2009
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Ndipo tutazidi tutalia na kusaga meno.
   
 17. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #17
  Mar 17, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hiyo ni faraja kubwa hasa kule Zanzibar kwa vile na wao watapata mgao wao kabla ya kutugaia na sie mgao wao wa mafuta.
   
 18. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #18
  Mar 18, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ngekewa mbona unataka kuleta kesi hapa? wakugawie tena?? mi simo lol!
   
 19. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  U r right!!! We are too greed to exploit everything available, wht will the future generation inherit, holes, caves, poor unfertile soil, polluted waters, deserts, u name them!! And the profits have never trickled down to all, better leave everything underground as the late Nyerere did!!
   
 20. Nyumbu

  Nyumbu Senior Member

  #20
  Mar 19, 2009
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni bad news kabisa. Tutaendelea kufanyiziwa tu...

  Kuna wakati Mwalimu alituambiaga - Tanzania sio nchi maskini... ni wajinga tu... uchumi tunao... tumeukalia. Siku hizi hatuukalii tena uchumi wetu. Mkapa alitufundisha tuwe wawazi, tukaamua kubon'goa, tena kwa raha zetu...
   
Loading...