Magazeti ya Tanzania via Kennedy

Kitia

JF-Expert Member
Dec 2, 2006
418
74
Nimegundua hii blog ambayo ina magazeti ya Tanzania katika hali yake halisi. Kurasa za magazeti hayo zimekuwa scanned na uku click unaweza kukuza kurasa kwa kusoma kwa urahisi. Hongera Kennedy.

Bofya hapa ukitaka kuyasoma.
 
Hapa kuna suala la intellectual property na copyright, yaani mkuu hata siyo copy paste, yeye anascan kabisa.

Je ana ruhusa ya kufanya hivyo kutoka kwa wenyewe (ambao wanalia kuhusu mapato yao kudondoka)?
 
Mkuu kwani hapo kuna conflict of interest?
 
Back
Top Bottom