Mapadre na mashehe wanaongeza uzinzi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapadre na mashehe wanaongeza uzinzi??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Mar 19, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,692
  Trophy Points: 280
  Br n sis..kumradhi lakini mwisho wa siku nitakuja na mada moja nzuri zaidi ya hizi hasa katika kuelekezana hoja za mahusiano....kuna baadhi ya watu wamekuwa wakilalamika wachungaji mapadre/mashehe wamekuwa wakishiriki katika kuongeza ama kuhimiza uzinzi katika dunia ya sasa

  MAPDRE/WACHUNGAJI
  Kwa wale wakristo kama inavyojulikana kuna baadhi ya vipengele vinaakataa kuoa ama kuolewa mara ya pili;kutokana na uhalisia wa sasa kumekuwa na wanawake wengi na wanaume wakiingia ndoani kama kujaribu kuvua wanapokutana na shughuli hata mwzi awafiki wanaachana wanakimbilia mahakamani....ok wanaachana..na unakuta kila mtu anaoa ama kuolewa kwa kusudio fulani..sasa basi inapofika mwenzako amesema mi sikuwezi naomba achana na mimi utamngangania mtu kama huyo...na je kama mkristo mwenzangu anitaki tena pamoja na kukimbizana kwa wachungaji hakikuwezekana na sitaki kuendelea kuishi bila ndoa ama KUZINI...ukimwi utaisha kweli???
  NIFANYEJE???

  MASHEKHE
  Yaa kwa wale ndugu zetu kama mnavyojua wao wametunukiwa heshima ya kuweza kuoa wake 4...kwa hili wengi wa bin adamu wameona inachangia kuongeza uzinzi maana mtu anaweza kuamua kutafuta mke wa pili kama mjuavyo wengine kuamua kupima ama kutest kwanza ndipo mtego unapoanzia hapo..la hasha akaamua kumwacha kupata mwingine je kwa hili hii magonjwa ya ukimwi yataisha kweli...naomba usijibu kwa miadili ya dini jaribu kusaidia jamii kwa hili......
   
 2. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mama 100,

  Hebu kwanza tangaza kama una "conflict of interest" kwenye mada zako au kuna kingine unatafuta?

  Hata hivyo leo umenikumbusha mbali sana (angalia rangi nyekundu), kuna mwalimu wangu alikuwa anaitwa mnyama fulani ngombe!!:rolleyes:
   
 3. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Pope Benedict said in Cameroon that "Religion is the basis of human civilization and he returned to one of the key themes of his papacy, saying there is no incompatibility between faith and reason".
   
 4. R

  REOLASTON Member

  #4
  Mar 19, 2009
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa ndoa za wakristo hairuhusiwi kutengana ndio maana kanisani wanaapa watavumiliana kwa shida na raha hadi kifo kiwatenganishe. Na hata wanandoa wakitengana hawaruhusiwi tena kufunga ndoa jingine.

  Kwa waislamu hapo ndio mmmh!!
   
 5. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Dini ama Mapadre ama Mashehe wote wamekuwepo toka zamani kabla hilo balaa la ukimwi. Hamna dini inayoruhusu uzinzi isipokuwa labda dini ya mashetani. Nasema dini ya mashetani sababu yeye shetani ndiye anaye mwelekeza mtu afanye uzinzi au uasherati na kwenda kinyume na maelekezo ya Mungu. Mapadre na Mashehe wanafundisha anayotaka Mungu si venginevyo.

  Nashangaa kuona kwamba wanasiasa pia wanahisia kama hizo za kwako pengine. Sasa tuwaweke ama tuwaelewe mupo katika kundi gani? kundi la Mungu au la Shetani?
   
 6. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #6
  Mar 19, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hata kwa uzinzi...!?
   
 7. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2009
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Aaaghrrrrrrrrrrrrrrrr,,, Mama Mia umeniudhi. Nilifikiri una zungumzia jinsi hawa jamaa walivyo WAZINZI wakuu kumbe ni kutengana kwenye ndoa? Kwaheri!
   
 8. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2009
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Anazungumzia UKIMWI please.
   
 9. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135

  Katika kukusaidia hili la uzinzi na viongozi wa dini kwanza ukumbuke kuwa hao Mapadre na Mashehe ni binaadamu kama sisi. Wao wameumbiwa kukosea na wao pia wameumbwa na roho zenye kufanya jambo kwa makusudio fulani.
  Nini maana yangu? Ni kuwa kati ya hao Mapadre na Mashehe wapo ambao wanajiingiza kwenye shughuli za kuongoza dini kwa makusudi mengine zaidi ya kuendeleza dini na wapo ambao hujiunga kwa lengo hasa la kidini. Kati ya makundi haya mawili hili kundi la mwanzo hata wakishiriki uzinzi basi si bahati mbaya na hili kundi la pili makosa ya uzinzi kwao ni bahati mbaya sana. Kwa upande wa uislamu ambao ninaujuwa kuna sura makusudi za hawa kama wanavyoitwa WANAFIKI ama kwa upande wa pili sielewi. Pia tutie maanani kuwa makatazo haya hayajaletwa kwa Mapadre na Mashehe peke yao bali kwa waumini wote hivyo hata sisi waumini tunakuwa wanafiki iwapo tunajuwa kuwa mola wetu kakataza zinaa na sisi tunaiendeleza.
  Kuhusu kuwa na wake wanne kuwe ni njia ya kueneza ukimwi tabaan inawezekana ikawa hivyo iwapo washiriki wa ndoa hiyo ni WANAFIKI. Tunapozungumzia ndowa na unafiki upo hata kwa asie na ndowa boyfriend/girlfriend. Asie mnafiki kwa mola wake hawezi kupata ugonjwa wa ukimwi kwasababu asie mnafiki ni mwaminifu na tunaambiwa kuwa kuepuka ukimwi huna budi kuwa mwaminifu.

  Kuhusu hili la talaka kama nimekufahamu vizuri sifikiri kuwa iko dini inayolazimisha kuwa mwanamke haachiki hata akiwa ameshavuka mipaka ya maamrisho ya ndowa. Hoja iwe upo ushahidi wakutosha. Mwenyezi mungu kwa kupitia dini ya uislamu anaiita talaka kama 'Haki anayoichukia' lakini kwa misingi fulani talaka ni haki kwa pande zote mke na mume.
   
 10. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  masheikha wa kweli hawaongei uzinzi ndo maana hawaoni tabu kumchapa kofi yeyote,pahala popote yule mtovu wa heshima anaeongea uzinzi, Mw'mungu amesem " wala MSIKARIBIE zina, hakika ni njia mbaya na uchafu" {Qur an,17:32}
   
 11. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hao wanaotengana wananyanganywa na zana zao? Binaadamu na uhuru halali na njaa na ndio atazidi kubadilisha leo huyu kesho yule si yu mjane.
   
Loading...