Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

jamani huyu bwana kule kwao wamemkataa kumpitisha kwenye NEC huku ofisini kila kukicha migogoro na anategemewa kugombea nafasi ya urais zanzibar. jee huku ndio mwisho wake umefika au kuna nn...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Je kuna matumaini ya kuwa italeta mageuzi ya kiuchumi?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nigeria corruption tsar sidelined BBC News Online Nuhu Ribadu was promoted in April The head of Nigeria's anti-corruption unit has reportedly been ordered to go on year-long study...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwaka jana mkuu wa nchi alikuwa na mapumziko kwa muda wa siku 5 moja pale sasakwa lodge amabyo iko serengeti,Gharama zake per nite ni $1800,na alikuwa na ujumbe wa watu 25 ambao unajumuisha...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakati Serikali inapiga kelele juu ya haki za watanzania wote bila kujali elimu zamu wala kimo,utajiri na rangi leo hii Waziri kama wewe unadiriki kuwatumikisha wasiachana kwa kitanzania kama...
0 Reactions
119 Replies
23K Views
Mapadre kuoa sio dawa ya matatizo - Pengo Ahoji: Mbona wanandoa wenye watoto, wataalamu wanabaka na kunajisi? Ataka wasigeuze sakramenti kuwa mali yao Na Joseph Sabinus 2002 ASKOFU Mkuu wa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Venezuelan President Hugo Chavez said three hostages held by the Revolutionary Armed Forces of Colombia, or FARC, could be in Venezuela by sundown if an operation to transfer them begins Thursday...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
fitna iko hapa: issamichuzi.blogspot.com/ salamu toka bongocelebrity.com wadau kunradhi, leo nimepokea ujumbe maridhawa toka bongocelebrity.com ambao mhusika alisita kuutundika na badala yake...
0 Reactions
44 Replies
9K Views
Barron Hilton to donate most of fortune Paris' grandfather bequeaths 97% of his $2.3-billion net worth to the charity foundation started by his father. By Susannah Rosenblatt Los Angeles...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Vita dhidi ya rushwa unafiki mtupu - Askofu 2007-12-25 11:14:34 Na Simon Mhina Vita dhidi ya rushwa na ufisadi itaendelea kuwa ngumu, kwa vile wengi wanaodai kuipiga vita ni wanafiki na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naona hamna thread ya Tekelinalokujia, au labda niko chakari bin bwii hata silioni. Nina swali. Kuna tatizo gani celtel? Mtu akinitumia messeji kutoka bongo, hiyo meseji inajituma si chini ya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Samahani wana JF, nimekuwa nikipata sana shida kupiga simu katika mtandao wa Vodacom nyumbani (niko nje ya nchi), sijajua shida iko wapi! Kuna wakati huwa nikipiga simu inaita kama kawaida ila...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hili ni ombi maalum kutoka kwangu binafsi kwenda kwenu wanaJF. Moderators naomba mnisaidie kuliweka mahali muafaka ambako wengi watalisoma. Kama baadhi yenu mnavyofahamu, nafanya masomo ya PhD...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
I have been reading some of the threads Ndugu zetu kutoka bongo wamekuwa wakipost and looking at them you are left wondering whether the words HOPE,OPTIMISM ever exists in their vocabulary .Be it...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Babu mwenye watoto 80, wake 8, awajengea shule 2007-12-24 10:30:52 Na Amina Mollel, Arusha Meshuko Mapi (80), maarufu kama mzee Laibon, mkazi wa kijiji cha Esilalei, Tarafa ya Makuyuni...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Kadhia ya Ballali inayoendelea sasa hivi ni matokeo ya aidha Gavana kukosa uhuru wa kusema NO kwa serikali kila inapohitaji mshiko ama ni uroho wa Gavana mwenyewe katika kutafuna hela hizo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Paul Karason ameweza kubadilisha rangi yake ya ya ngozi kwa kunywa coloroidor silver. fuata link kusikiliza maelezo yake. http://www.worldstarhiphop.com/videos/video.php?v=wshhwY07Q6I0VX3
0 Reactions
0 Replies
2K Views
'NO RECOURSE TO PUBLIC FUNDS' ni sentensi fupi tu ambayo inaonekana kwenye visa yangu, na to be frank, sikujali sana kutafuta maana ya maneno hayo miaka mitano iliyopita waliponigongea.Hii...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Jumapili tarehe 16 Desemba. Jioni. Wazalendo kumi na moja toka Afrika Mashariki walijitolea mhanga toka vitongoji kadhaa vya London kuchangia mawazo katika kikao kilichopitisha katiba ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Weka maoni yako ukiwa na vigezo vya msingi
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…