Nigerian deals 'wasted billions'
BBC News Online
Olusegun Obasanjo is still influential in Nigeria's ruling party
Some $2.2bn-worth of Nigerian energy contracts were awarded without a...
Ndugu Watanzania napenda kutoa maoni yangu ambayo kwa namna moja au nyingine, nimekuwa nikiumia sana tena sana kwa mambo ambayo yanatokea Tanzania
Katika Hospitali zetu tumekuwa na matatatizo...
2008-03-15 08:54:40
Na Dunstan Bahai
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu, amesema thamani ya Shilingi imepanda kutokana na benki hiyo kujitahidi kudhibiti mfumuko wa...
Mwema alitishia sana kwamba ana orodha ya "wazungu wa unga", na kudai kwamba karibu ataitoa hadharani bila kujali vyeo vyao. Nikajiuliza kwani mkuu wa polisi akiwa na orodha ya wahalifu anatoa...
Nimekuwa nikijiuliza kuwa huko bungeni huwa kuna nini kinachowafutia wa watanzania wengi wapende kuwa wawakilishi wa wananchi/wabunge??????Unakuta mtu alikuwa Mkurugenzi wa shirika kubwa,au...
Tangazo La Shughuli.
Familia Ya Kina Kilemela Ya Great Ormond Street London, Ina Furaha Kuwatangazia Shughuli Ya Ngoma Ya Binti Zao, Asia Na Fatma Kilemela Itakayofanyika 65 Orde Hall Street...
Hodi janvini kwa heshima na taadhima.
Mimi nimeguswa na kusikitishwa na wizi unaofanywa na hizi financial institution zinazotoa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali. In my case i will use B Blue...
Tunasubiri kuona kama ripoti ya EPA licha ya kutaja walioiba fedha zetu na kuzirudisha kinyemela itatuambia pia kuwa watasimamishwa mahakamani kwa kuhujumu uchumi, kujipatia mali kwa njia ya...
We need weeks to decide on support, says Finland
2008-03-14 09:25:40
By Guardian Reporter
Finland said yesterday it needs a few weeks to know whether the reported massive misuse of funds...
Kwa masikitiko makubwa sana nashindwa kuamini kile kinachoendelea kwenye taifa hili eti kuna mtu ama watu wanaweza kutuibia mabilioni ya pesa na kisha wakigundulika wanaambia warudishe na hakuna...
Wakuu, hii imekaa vipi? Naona wanajeshi wetu wako Lebanon, na Wengine wanaelekea Comoros. Is this economical? Who is financing? What are the benefits to us?
Is it not cheaper and more effective...
Napenda kujiendeleza kielimu,ingawa ni mtu mzima wa zaidi ya miaka 50( Elimu haina mwisho)
My intention is to pursue a bachelor's degree in Commerce.I am a working man and for the last 20 years...
CCM yasikitishwa Rais Jakaya kuhusishwa na ufisadi
Mwandishi Wetu
Daily News; Wednesday,March 12, 2008 @00:03
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa na kauli ya kumtuhumu Rais Jakaya...
Waheshimiwa Waungwana wa Jambo Forums,
Napenda kujitokeza kwenu kutoa ushauri wangu wa jinsi ambavyo tunaweza kuanza kuitumia taasisi hii nyeti katika kuleta maendeleo na mabadiliko pamoja na...
Mafisadi wafanye ufisadi wao! Halafu siri kali inaogopa kuwashughulikia eti kuna hatari kwamba nchi inaweza kulipuka! :confused:
This does make sense at all! Both of you (Mwanyika and Mwema)...
MWANAMKE ni kiumbe wa jinsia ya watu wanaoonekana wazuri wa sura na maumbo, wenye maumbo laini na teketeke na waliojaa uoga mwingi na aibu tele.
Sifa hizo za maumbile yake ni za kiasilia za...