Alnadaby
JF-Expert Member
- Sep 28, 2006
- 505
- 40
Napenda kujiendeleza kielimu,ingawa ni mtu mzima wa zaidi ya miaka 50( Elimu haina mwisho)
My intention is to pursue a bachelor's degree in Commerce.I am a working man and for the last 20 years have been holding managerial posts in two successiful private companies.In other ways i know how to run a business and make it successiful practically having acquired a long time experience.
I hold The East African Certificate of Education(O) with credits in Commerce,Geography, English and Kiswahili.(1970)
Wanachama.nawaomba mnipe mwanga..maana nilizaliwa katika familia ya kimaskini nikawa nahangaika weee....hata nikasahau kujiendeleza kwa kuwa nilikuwa busy sana na kuendeleza biashara na kuwatajirisha wengine.
Je kuna online accredited colleges hapa Tanzania zinazoweza kunikubali kusoma hiyo shahada.Je lazima nifanye mtihani wa Kidato cha IV au kuna njia gani nifanye ili nisonge mbele?
Nitashukuru kwa majibu yenu.