Huyu ndiye aneyejiita Kiongozi wa Wabongo Uholanzi

Injinia

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
850
Likes
4
Points
0

Injinia

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
850 4 0
What do u mean by 'Hiki si kijiwe kama JF'? Inamaana JF ndio watu hawakoserious? Kwa taarifa yako, wako serious na ndio 1 ya sababu watu wanatumia alias zao na si jina halisi. Mfano mimi ni injinia... Pengine jina halisi ni Reverend P Kivuitu... tuna avoid persecution, tunapashana habari nyeti bila kudisclose jina, source, ofisi etc
TUOMBE MSAMAHA.
 

Madela Wa- Madilu

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2007
Messages
3,073
Likes
45
Points
135

Madela Wa- Madilu

JF-Expert Member
Joined Mar 24, 2007
3,073 45 135
Akutukanaye kweli hakuchagulii tusi.
Yaani sisi hapa JF ahatuko serious kwa sababu tuna majina ya bandia?

Mbona watu wakifungiwa wanarudi kwa majina mengine na kuomba wafunguliwe ili waendeleze amjina yao ya zamani?

Mimi Jina la Madela Wa Madilu limenikaa vizuri kabisa kisiasa, kiasi kwamba leo nikiingia kwenye duru za uchaguzi nakutumia jina la Madela najua tayari nina mashabiki.
Nadhani hata siku nikikutana na kusalimiana na MH Rasi naweza jifunga mwenyewe kwa kusema mimi ndo Madela Wa Madilu.

Niki GUGO jina langu la ubatizo hakuna kinacho toka lakini nikibandika MADELA WA MADILU si mchezo.
Kuna mambo niliandika siku nyingi nikiyasoma tena inakuwa kama vile nasoma mawazo ya mtu mwingine si mimi.

Lakini ni kweli nasoma mawazo ya Madela na si mimi.

Tuko serious.
 

YournameisMINE

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2007
Messages
2,451
Likes
0
Points
145

YournameisMINE

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2007
2,451 0 145
mlevi huyo, achaneni nae. kwanza ana andika kama form four aliyezunguka 'msamvu'(ile roundabout pale Morogoro....maana yake zero). binafsi nimepata shida kumuelewa nini hasa ilikuwa meseji yake!!! nakwambia, bongo kuna kaazi kubwa sana ya kuwekana sawa. mafisadi wanalijua hili, na kwasababu wao ni mafisadi ndio maana wana-take advantage ya mibichwa maji kama huyu kilaza wa Holand.
 

mbarikiwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
507
Likes
5
Points
35

mbarikiwa

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
507 5 35
Ina maana hii:
Kama umewahi kuishi/kukaa Uholanzi, ukawa mwanachama/mwanamtandao wa wabongonl yahoo group; halafu ukarudi nyumbani, au ukahamia nchi nyingine, inabidi ufutwe/ujifute kwenye mtandao wa wabongonl maana ni kwa ajili ya wabongo wanaoishi uholanzi tu. Inakuwaje wadau, huu si ni Udikteta?
 

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Messages
9,438
Likes
976
Points
280

Washawasha

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2006
9,438 976 280
We unataka kutukamatisha tu huna lolote,hapa hatutumii majina yetu wala nini,mimi washawasha mwanzo mwisho na ukifanya masihara nitakudondokea ili nikuwashe
 

Mahesabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2008
Messages
5,130
Likes
732
Points
280

Mahesabu

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2008
5,130 732 280
kuna mtukuka humu JF huwa anasema.....hata chizi ana haki ya kuongea........
Na vilevile kuna msemo kuwa ...ujitazamapo kwenye kioo na kujiona u mchafu, huvunji kile kioo bali ni kujisafisha......!
The guy(DAMIAN) might be wrong, but bare in mind that he didnt talk out of nonsense......!
We have to change guys!!!!! Its true that people call names here in JF! When that is cleared JF will brighter shine!!!!
/SIZE]AM NOT SUPPORTING DAMIAN......NASISITIZA UKALI WA LUGHA(matusi) UPUNGUE.....!
 

Forum statistics

Threads 1,203,212
Members 456,663
Posts 28,104,807