Mwema alitishia sana kwamba ana orodha ya "wazungu wa unga", na kudai kwamba karibu ataitoa hadharani bila kujali vyeo vyao. Nikajiuliza kwani mkuu wa polisi akiwa na orodha ya wahalifu anatoa vitisho kwanza au anawashughulikia tu?!! Iko wapi?
Leo Mwema yule yule anatishia kuwashughulikia mafisadi wa EPA. Sidhani kama Mwema ana ubavu huo. Anajifurahisha tu na kudanganya toto ili watu wasahau. Kaishafundishwa siasa za kibongo kwa hiyo anatuchora tu - sidhani kama kuna kitu hapo. Kama kuna lolote tungekwishaliona. Hii ni sehemu ile ile ya network ya ufisadi tu.