Viongozi wa Bongo wajifunze nini kuhusu ishu ya Gov. E Spitzer?

mstahiki

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
308
5
Hii ishu ingetokea bongo..would it make headlines kama USA?
Nini ambacho viongozi wetu wajifunze?
 
No one is above the law!

Integrity, Integrity, integrity!

Siyo Spitzer pekee, njoo Michael Brown wa FEMA, njoo Alberto Gonzalez Mwanasheria mkuu na wengine wengi!
 
No one is above the law!

Integrity, Integrity, integrity!

Siyo Spitzer pekee, njoo Michael Brown wa FEMA, njoo Alberto Gonzalez Mwanasheria mkuu na wengine wengi!

Tanzania asingaliguswa mtu kabisa wangalisema anachapa kazi mambo ya binfasi hayana nafasi .Ndiyo maana akina Karamagi na Mahita kwa uchache wao wakachukua wake za watu na kuwakataa watoto mahakamani na leo ni waheshimiwa .
 
Rev.Kishoka,

....Na yule wa Detroit update vipi... bado yuko mzigoni au?!... naona Mzee Mkjj amemkana kuwa si meya wake tena na kukimbilia kwenye environs za mji baada ya kuambiwa mji unaongoza kwa depression.... :)
 
Back
Top Bottom