Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

This is a "Persistence Hunt" of a Male Kudu, by tribesman of the San on the Kalahari Desert of Africa. Thoroughly blew my mind! This.....this is hunting. An almost transcendental means of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
How best can countries achieve public sector transparency? Achieving public sector transparency has always been a goal of enormous...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mkuu wa Magereza Mwanza matatani Na Mwandishi Wetu MKUU wa Magereza Mkoa wa Mwanza Kamishna Msaidizi Mwandamizi Ahmed Kopwe, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kumdanganya Kamishna Mkuu wa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mkuu kova kwanza napenda kukupongeza kwa kusoma nyakati hao masebe uliowakamata ni cha mtoto kuna hii inajiita powerclub ////iko famous sana arusha na dar ,mbeya na kwingineko...unatoa laki...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu, Tafadhali soma hizo nukuu za waheshimiwa wabunge wa Bunge letu tukufu, halafu wasilisha maoni yako. wasalaam. NUKUU KUTOKA MKUTANO WA WABUNGE NA ASASI ZA KIRAIA (AZAKi) Mahali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mbegu DECI sasa kung'olewa kwa malipo Friday, 24 April 2009 16:19 Na Edmund Mihale KAMPUNI Development Entrepreneurship for Community Initiative (DECI) imezua biashara nyingine ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu, Najua kuna shule nyingi kwa hapa Tanzania. Kwa kuangalia matokeo tu naweza kuchanganya madawa. Ninachotaka kujua, ni shule gani ina walimu walio committed, mandhari nzuri ya kufundishia...
0 Reactions
72 Replies
27K Views
timu ya malindi imeamua kufunga minyororo ofisi zake na kuamua kuandika barua ya kujitoa baada ya kuamuriwa kugawa kiwanja chake bila taarifa kwa mfanya biashara seleman takie...akiongea na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Dear Mommy, I am in Heaven now, sitting on God's lap. He loves me and cries with me; for my heart has been broken. I so wanted to be your little girl. I don't quite understand...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jeshi la polisi limesema limepata taarifa zilizotolewa na mh REGINALD MENGI jana na kuwatangazia kwamba wameanza kuwachunguza na yoyote mwenye kuasthiriwa na usemi wa mengi anaweza kufwata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
OUR Own APRM had had faulted Right from word go! Evidence below. The East African Opinion July 2 – 8, 2007 Fatally flawed Nepad’s failure was expected (J. Harrison Kinyanjui) At a...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Different lives in the same world. People are starving, we throw food away Chicken a la Carte : Director: Ferdinand Dimadura | Genre: Drama |...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali yataka kufunga uwanja mpya wa Taifa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Sosthenes Nyoni WIZARA ya Habari, Utamaduni na Michezo imesema huenda ikalazimika...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
habari za uchovu wa kupigania shillingi wadanganyika wenzangu. hivi uozo huu utaisha lini wa mtu kusafiri kilo mita 100 kufuata huduma ya afya, maji ya visima , na umeme wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wadanganyika wenzangu Kwa mara ya kwanza napenda kujitokeza rasmi na kuweza kutoa maduku duku mengi huwezi kuamini kuwa kuna kampuni linaweza kuweka mpaka dhahabu zenye samani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natowa wito kwa mashujaa wakweli katika kutetea maslahi ya nchi yetu. Ingawa sina tamaa kuwa wapo mashujaa wa kweli kwa upande huo lakini natowa nafasi kwa hao tunaowaita mashujaa wathibitishe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tujadili: Nani wa kushika bango la vita dhidi ya ufisadi? Baada ya Reginald Mengi kujitolea kushika bango la vita dhidi ya mafisadi, kuna shutuma kali zimetolewa dhidi yake kwamba ama naye pia...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwenu Nyote Nawajulisha ya kuwa MwanaJamii mwenzetu anaejulikana kwa jina la Stone Town, yupo Dar es Salaam kwa matibabu zaidi ktk hospital ya kijeshi Lugalo; ule mguu aliofanya upasuaji mdogo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Na Said Hauni, Kilwa Masoko BAADHI ya wakazi wa kijiji cha Makangaga wilayani Kilwa mkoa wa Lindi, wamepigwa na butwaa baada ya nyoka mkubwa kuingia ndani ya kaburi lililokuwa na mwili wa...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Hii nayo imekkaje???!!! Angolan pilot lands at wrong airport Angola's flag carrier TAAG, already banned from flying to Europe, said Friday it had suspended a pilot and his co-pilot for...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom