Jamani nimekuwa nikitatizwa na swali hili. Kuna kampuni moja ya kizalendo iliyojulikana kama "Mwananchi Engineering and Construction Company" (MECCO). Hivi kampuni hii bado ipo ama ilikufa kama...
Najiuliza kidogo wana JF wenzangu kuhusu kukamatwa kwa watuhumiwa wa umwagiaji wa tindikali kwa mhariri wa MwanaHalisi Bw Kubenea na mapanga kwa Bw Ndimara Tegambwage walikamatwa lini maana mara...
Hii ni email ambayo imekuwa forwarded kwangu juzi na nimeona itakuwa vizuri nikii share na wadau hapa, rule zilizotajwa hapa ni kumi tu, ningependa kuona mchango wenu kwenye kuziongeza zaidi na...
Kutokana na ripoti hii ya BOT ni nani hasa mwenye uwezo wa kufungua mashitaka dhidi ya wahusika.Imedhihirika wazi kuna wizi umefanyika ktk bank kuu.
1,je ni bank kuu yenyewe ndio yenye jukumu la...
Ndivyo wanavyodai baadhi ya watu, wanadai hakuna aliyeshuhudia, hakuna picha za ajali hiyo, gari haijulikani iliko, na mambo kadha wa kadha. Bofya hapa...
It is about time someone has got into this.
There has been a lot of fake colleges, claiming to be affiliated with well known Universities here in the UK. Basically they promise international...
Jamani Watanzania wenzangu nisaidieni kwa mawazo yangu Generation ya 50-70 years ndiyo yakulaamu kwa umasikini wetu. Sithani kama Generation zingine zitakuwa corrupt na kutojali nchi kama hawa...
nyepesi nyepesi zimetoka kuwa Britney anatoka na mpiga picha wa ki Pakistan na ana mpango wa kubadili dini awe muislamu aitwe Begum Britney na kama hajamaliza habari ana mpango wa kujimuvuzisha na...
Kumekuwa na maandalizi ya Kikao cha Mabalozi wetu nyumbani wiki hii . Na msemaji mkuu nadhani kama sijakosea ni Balozi Mlay . Habari ambazo Lunyungu mtoto kanipa kwamba pamoja na mambo mengine...
MoDs:
Kwa heshima na taadhima ninaomba mniruhusu kutumia ukumbi huu, japo hata kwa muda mfupi tu kumzungumzia ndugu yetu Mac na mchango wake mkubwa anaoufanya kimya kimya hapa JF.
Wengi wetu...
Mimi ni Muislamu na Mwenyezi Mungu amenijaalia nimewahi kuhiji pia. Alhamdulillah.
Siku moja nilimuuliza Sheikh, "masharti ya mtu kuwa Muislam ni yapi?" Akaniambia ni kukiri kwa moyo na kutamka...
Hii haijakaa sawa, haiwezekani JF sasa hivi ndio inaongoza kupambana na ufisadi nchini halafu tunaruhusa watu wanajiita Fisadi humu tunawaruhusu, jamani tuonyeshe mfano. Pamoja na uhuru tulio nao...
Hivi progress ikoje kuhusu yale maandamano tuliyoambiwa yatakuwa somewhere in early feb? nimeitafuta thread sijaiona.
who is the organizer?
the information was valid?
No mum we are not attacking you because you're a woman, but we are attacking you because you lied to Tanzanians and you are trying your level best to make sure the BOT report is not released to...
CIA Director Michael Hayden told the Washington Post that the former Pakistani prime minister was killed by fighters allied to Baitullah Mehsud.
The Pakistani government accused Mehsud of the...
Wabongo waishio MD,DC na VA hivi karibuni watachagua viongozi wapya baada ya viongozi wa sasa muda wao kuisha,kuna wabongo wengi wanataka kugombea nafasi mbalimbali za uongozi,uchunguzi umeonyesha...
Heshima Mbele wnabodi,Tayari Jaji Mstaafu Lewis Makame keshatangaza tarehe ya uchaguzi wa jimbo la kiteto ambalo Mbunge wake alifariki Desemba 16 mwaka jana,marehemu Benedict Kiroya...
Posted Date:: 15.01.2008 @00:40 EAT
Cotton cooking oil puts men's fertility at stake
By Patty Magubira, Mwanza
THE CITIZEN
Widespread production of unrefined cottonseed oil is said to...
Jamani wakubwa Heshima zenu!
Kuna kitu mimi sijakipatia jibu maana sielewi kuna umakusudi au watanzani wenye tuu ndio magumashi kwenye suala la kupata Visa.
Majuzi nina jamaa yangu alienda...
Wakuu wote heshima mbele, toka siku nilipo-post dataz kwenye ishu ya Mwana-Halisi na acid, na kuahidi kuwa nitaleta zaidi nimekuwa siwezi tena kuingia JF kuna maneno mazito ya kutisha ati kutoka...