Ninahitaji Msaada Wakuu: JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninahitaji Msaada Wakuu: JF

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Field Marshall ES, Jan 11, 2008.

 1. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  Wakuu wote heshima mbele, toka siku nilipo-post dataz kwenye ishu ya Mwana-Halisi na acid, na kuahidi kuwa nitaleta zaidi nimekuwa siwezi tena kuingia JF kuna maneno mazito ya kutisha ati kutoka FBI kwamba nikiingia mara mbili tu nitatafutwa nao, yaani FBI, sasa kwa wale mlio na ujuzi zaidi wa intrnet hebu nipeni info what to do najua kuna mfisadi mmoja ananichezea, he should know better kuwa hawezi kitu,

  kwa wale wenye ujuzi zaidi ninaomba msaada naman ya kupambana na huyu nduli ambaye tayari nimejua ni nani,

  Ahsante Wakuu nipo kwenye mtuwameli-AT-yahoo.com
   
 2. P

  Pedro Senior Member

  #2
  Jan 11, 2008
  Joined: Nov 17, 2006
  Messages: 114
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hao wanakupiga fiksi tu mkuu, sasa FBI watakutafuta ili iweje? labda wakuajiri kwa sababu utawasaidia kuwapa dataz za kuwapata wahalifu, FBI si kama polisi yetu ya bongo.
   
 3. Bowbow

  Bowbow JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2008
  Joined: Oct 20, 2007
  Messages: 545
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mhh, FBI wa kutumia mapanga butu? Naamini kuna watu waliokamatwa na inasemekana kuna waliokimbia kwa nini usimreport huyo mtu akaisaidie polisi. Nitumi jina lake kwenye PM yangu nitamfikisha kwa wahusika
   
 4. green29

  green29 JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 312
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 35
  Hao wanakutishia nyau wa makaratasi. Mimi nashauri wapuuzie tu.
   
 5. O

  Ogah JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  You need not to spit it here FMES.......how will you know kuwa atakayekusaidia ndio huyo NDULI mwenyewe.....then utakuwa umejifunga zaidi,

  Well, naamini wewe ni mtu wa ma-connection....utapata mtu wa kukupiga tafu Mkuu wangu
   
 6. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2008
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Field
  unaongea ukweli au unapiga mkwara???

  Mbona upo online mda mrefu kama ni kweli wanakutafuta hiyo ni hatari sana yani watakukamata kama kipanya papuuuuuuuu.

  Harafu vilevile kama kweli wanakutafuta unaweza kuwa kwepa kwa kutumia komputa tofauti tofauti kwa mahali tofauti tofauti pia mfano leo una post kutoka internet ya sanaa pale bagamoyo harafu kesho unatumia internet pale kariakoo kwa mtindo huo huo hakamatwi mtu.
  Unajua kila komputa ina IP yake hivyo wana IT wanacheza mfano na ulichoandika wanajua hadi mahali ulipo pia akiamua kukufanyia mtima nyongo anaweza kuizima komputa yako milele.

  Ama anaandika program kwa programing language yake anayoijua harafu hiyo program anaituma inakuja ktk komputa yako inakuibia data zako wanakufahamu moja kwa moja kuwa aha kumbe Field ni fulani anafanya kazi mahala fulani.Na program za namna hii ndizo zinajulikana kama Virusi.

  Hivyo kama walishakufahamu kwa kuchukua data zako kupitia hivyo viprogram basi mkuu inabidi ukubali moja kati ya mawili kutotishwa kwa kutetea haki ama unyee kambi.

  Kifupi data mhimu inabidi watu wajifunze kuhifadhi ktk komputa isiyokua na mtandao yani haiko ktk internet(network of network).
   
 7. K

  Kalamu JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2008
  Joined: Nov 26, 2006
  Messages: 874
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mmmmh!
  Haya nayo ni mambo makubwa ya JF. Mwaka huu tutaona mengi. Ikiwa mkia tu ndio unaoonekana, tutautumia huohuo kujua kichwa kilipo.
   
 8. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #8
  Jan 11, 2008
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Hao wanakupiga fix tu; FBI hawafanyi kazi namna hiyo. Labda weka firewall kama itasaidia.
   
 9. YournameisMINE

  YournameisMINE JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2008
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 2,451
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 145
  Mkuu FMES,
  hakuna lolote, wanakutania tu. FBI na suala la mwanahalisi ni wapi na wapi?? We endelea tu kutuletea "ze dataz" na kumkoma nyani kwa mwendo mdundo!!. Hao jamaaz wanataka kukuziba mdomo kwa kutumia vitisho vya kufikirika......lau kama FBI wangekuwa wanafanyakazi kwa mtindo huo basi wengi tungekuwa tunatafutwa na hata labda hivi sasa tungekuwa tunanyea ndoo na kula kwa mstari!!.
   
 10. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Simba wa kuchora tu huyo... we chapa kazi na kama una dataz zingine lete wanaforum tujadili!
   
 11. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #11
  Jan 11, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Mkuu FMES,

  Kifupi ni kuwa kuna mtu tokea kwenye IP yako alifanya upuuzi wa hali ya juu akitaka ku-run scripts unsafe kuja JF. Nia yake haikuwa nzuri na nilitoa server ban kwenye IP zote alizotumia.

  Am really sorry that you were the victim of this damn ban. It wasn't my intention. I have released all IP addresses in this ban and you wont get such messages.

  Naondoa hiyo picha inayoonekana pia kwakuwa hata mimi sifurahishwi na ujumbe uliopo.

  Angalia PM yako utajua nani anatumia IP yako kufanya fraud. I will take care of her.

  Thanks for your patience.

  Invisible
   
 12. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2008
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,224
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Ebwana ee!
  Kumbe kuna mtu anataka kutumia jina la FMES kuingilia kazi za JF sio?
   
 13. M

  Mwendapole Old JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2008
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 249
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kiswahili kweli kigumu!
   
 14. Augustoons

  Augustoons JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2008
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 410
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Wasikutishe wala nini wee cha kufanya mtwangie tibaigana tu au Rwambow kivyakovyako wala huna haja ya kutupostia jina lake huku au kama vipi habari nyeti wapostie administrators ili wazipost toka majuu
   
 15. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #15
  Jan 12, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  Mkuu Invinsible,

  Vipi bado siwezi kuingia mkuu, sasa hivi ninatumia wa kuazima, mkuu Pedro, ndio maana nilisema kuwa ninamjua aliyefanya huu upuuuzi, mimi sina shida ya kutafutwa na FBI, ni wale tu wanaojifanya usalama wa bongo, na FBI pia ndio wanaotakiwa sio mimi raia mwema,

  Mkuu Invisible, tuwasiliane mkuu!

  Ahsante!
   
 16. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #16
  Jan 12, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Pole sana kwa yaliyokukuta mkuu ES. Natumaini suluhisho litapatikana si muda mrefu ili uendelee kumkoma nyani kama kawa...

  Invisible, duuh, kumbe mademu wengine siku hizi ni nuksi eeeh!!!.... lakini miye namwonea huruma sasa, kwa yale yatakayo mkuta (HER) huyo, si unajua tena, hasira za 'robot' hazitabiriki.... huchelewi kukuta inamwagia oil :p mwili mzima ilimradi tu asiguse hiyo computa tena!! lol


  SteveD.
   
 17. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #17
  Jan 12, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  Shukrani mkuu, lakini ninashukuru kuwa Robot anajua kuwa aliyefanya ni "she" sasa nafikiri ninaelewa kinachoendelea, ndio tabia zetu wabongo roho mbaya na umasikini mpaka kwenye akili!
   
 18. O

  Ogah JF-Expert Member

  #18
  Jan 12, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  FMES,

  wengine wanaiita tabia hiyo "Black Crab Syndrome".........unaijua hiyo Mzee? wengi yamewakuta kutokana na tabia hizi za watu wanyambilisi
   
 19. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #19
  Jan 12, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  There's no IP banned up to this moment. Kwa ajili yako nimewafungulia wote lakini natafuta njia mbadala ya kutoa zawadi ya wakorofi.

  Pole kwa usumbufu.

  Invisible
   
 20. C

  Chief JF-Expert Member

  #20
  Jan 12, 2008
  Joined: Jun 5, 2006
  Messages: 1,490
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  THUMB UP Mr. Invicible
   
Loading...