Sasa wageni kutokuwa ma Konshula wetu nje ya Nchi ?

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Kumekuwa na maandalizi ya Kikao cha Mabalozi wetu nyumbani wiki hii . Na msemaji mkuu nadhani kama sijakosea ni Balozi Mlay . Habari ambazo Lunyungu mtoto kanipa kwamba pamoja na mambo mengine wanataka kuangalia uwezekano wa kuwakataa wageni kutuwakilisha , na hili limetokana baada ya JF kuwasha moto kama ule wa juu ya watoto wa wakubwa na sasa wanachunguzwa .Pia wana angalia kama wanatapewa heshima hiyo basi wawe na kipingi maalumu na waangalie kama wateulie na Rais ama waziri wa mambo ya nje .

Je what do you know ? Tuhabarishe .Nimezungukia mambo ya nje mara kadhaa lakini sikuweza kuambuliwa lolote nadhani ni kwa kuwa wote wana haha na mambo ya BOT .Kila aliyeniona alisema Lunyungu vipi mbona uko hapa kuna nii so wananimbia hata sijajua sababu .
 
Hakuna mwenye habari za chini chini juu ya hili ? Kesho J3 niko mtaani ninalivalia njuga .
 
Back
Top Bottom