Afya ya Dr. Idrisa Rashid aliyekuwa Gavana BoT ni mbaya? anaumwa nini? na mke wake wa pili alikufa na nini? na sasa nimesikia ana mke wa kiarabu kama wa mshika dau.
mwenye data anipe hapa.
FINANCIALS SECTOR
|
COMMERCIAL BANKS INDUSTRY
Wachovia Corp. (WB:NYSE)
Charlotte man helps villagers get fresh water: 2 pumps he raised money for installed at orphanage in Tanzania [The...
Jamani TUT (TVT&RTD) leo usiku (kesho!!) wamesema wataonyesha mahojiano kati ya JK na waandishi jana IKULU, lakini naona kama wanaikebehi IKULU kwa kuwa wameambia wasitoe hadi tarehe 21 Desemba...
Makala hii imetoka kwenye Tanzania Daima leo. Kwa bahati mbaya kwenye tovuti yao haionekani (kama ilivyo kwa makala nyingine). Kwa faida ya wasomaji, mashabiki na wakosoaji ninaiweka hapa kama...
Kama Vile Walikuwa Wanaigiza Filamu Ya Kivita
Majambazi Wapatao 3 Walikuwa Ndani Ya Gari Lao Wakiwafuatilia Raia Wa Kigeni Waliokuwa Wanatoka Mjini Kuja Uwanja Wa Ndege Wa Mwalimu Nyerere ...
Habarini waungwana . Habari toka kila kona ya Nchi na Jiji zimezidi kuvuma na kuvumika kwamba JK anakaribia kuvunja ufalme wake na aweke wapya ili kukinusuru Chama chake cha CCM.Kumekuwa na kashfa...
Duh kumbe haya mambo ni kila mahali tuu yapo? Nilikuwa naangalia BBC jana naona jamaa wanarushiana vichwa wakiwa wamevaa suti na tai sio mchezo. Jamaa wanapanda juu ya meza na kurusha vichwa kama...
Leo mida ya saa nane kamili (14:00 EAT) Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete atakuwa na mkutano na waandishi (wachache) wa habari Ikulu. Ajenda kuu ikiwa ni kuongelea uongozi wa nchi chini yake ndani ya...
What new city plan must have
A NEW KAMPALA: Joshua Wandera
It was interesting to read President Musevenis article: God gave you the authority to look after your city, use it (New Vision...
FAUSTINE KAPAMA
Daily News; Wednesday,December 19, 2007 @00:02
Also in the News
Poor clinch climate change deal
Special tri-cycles for Health Centres
Moshi Rural constructs 228 classrooms...
MOJA ya mambo ambayo hatuwezi kulaumiwa kwamba tuna uhaba nayo bila shaka ni sherehe. Sisi kama Taifa tunazo sherehe chungu nzima.
Zipo zile sherehe ambazo zimepangwa katika kalenda ya kila...
Jamani nilikuwa nasikiliza radio maria kutoka magazetini nikasikia habari ya kushangaza sana. Yaani serikali imeamua kuagiza Bajaji badala ya Ambulace kubebea wagonjwa! Jamani sijui nyie mnnaona...
MIAMI - The honeymoons are over for a 26-year-old woman who authorities say has at least 10 husbands.
Eunice Lopez has been charged with bigamy, accused of marrying 10 men between 2002 and 2006...
Ninaomba kuuliza,
Katika one calender year , mbunge wa Tanzania anatumia muda gani katika jimbo lake.?
Mbunge anatumia siku ngapi katika session za bunge katika mwaka?
Mbunge anatumia siku...
Watanzania tumekuwa wepesi sana wa kuiga mambo mbali mbali toka sehemu nyingine aidha kwasababu tumeona katika picha au kusikia hebu soma hii taarifa huwezi kuamini kama imetokea Tanzania. Mbona...
Mtikila apata pigo DP
Na Kizitto Noya
CHAMA cha Demokratic (DP) kinachoongozwa na Mchungaji Christopher Mtikila kimepata pigo kwa kuondokewa na viongozi wake waandamizi ngazi ya taifa na...
Salam za Mheshimiwa Balozi Mwanaidi Sinare Maajar katika Kusherehekea Sikukuu ya Eid El-Hadji, Noeli Na Mwaka Mpya 2008
Ndugu Watanzania wenzangu na wote wenye mapenzi na nchi yetu mlioko hapa...
The International Organisation for Migration has launched a campaign to raise awareness of human trafficking in Tanzania, a country increasingly becoming a transit point, it said in a statement on...
Waves threaten Zanzibar paradise
People living close to beaches on the Tanzanian archipelago of Zanzibar fear they will lose their homes to the encroaching waves. "The tides in October were...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.