Tusisubiri Sana Misaada Ya Serikali....Taratibu Tutafika! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusisubiri Sana Misaada Ya Serikali....Taratibu Tutafika!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kisura, Dec 20, 2007.

  1. Kisura

    Kisura JF-Expert Member

    #1
    Dec 20, 2007
    Joined: Jun 21, 2007
    Messages: 363
    Likes Received: 6
    Trophy Points: 35
    Source: BusinessWeek
    Wachovia Corp(WB): News & Press Releases
     
  2. Nyani Ngabu

    Nyani Ngabu Platinum Member

    #2
    Dec 21, 2007
    Joined: May 15, 2006
    Messages: 68,250
    Likes Received: 22,884
    Trophy Points: 280
    Huyu hata mimi najua....
     
  3. Mlalahoi

    Mlalahoi JF-Expert Member

    #3
    Dec 21, 2007
    Joined: Aug 31, 2006
    Messages: 1,979
    Likes Received: 231
    Trophy Points: 160
    Asilimia kubwa ya Watanzania hawailalamikii Serikali kwa kutowapa misaada.Wanacholalamikia ni HAKI YAO KAMA TAXPAYERS WHEN THEIR GOVT FAILS TO DELIVER wanachostahili.
     
  4. K

    Kasana JF-Expert Member

    #4
    Dec 21, 2007
    Joined: Apr 3, 2007
    Messages: 396
    Likes Received: 3
    Trophy Points: 35
    Tatizo la waTZ tunasubiri serikali ilete maendeleo, na hata kidogo serikali itakachowaletea matunzo hamna.
    Sitashangaa, akirudi na kukuta hakuna maji kwani pampu zilishaibiwa siku nyingi, na hakuna fungu lililotengwa la kununua nyingine, hadi wafadhili wanunue.

    Bado tunasafari ndefu ya kuwafanya wananchi waparticipate, wawe creative na waweze kubuni miradi yao muhimu na kuilazimisha/ kuifanya serikali ya wilaya/mkoa kupitia kwa 'wabunge wao'kutekeleza.

    Tutabakia na kusubiri wafadhili waje watupandie miti, wachimbe vyoo vya shimo n.k

    Hope huyo kaka 'hanalengo lakugombea ubunge huko mbeleni'.
     
Loading...