Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Afya ya Dr. Idrisa Rashid aliyekuwa Gavana BoT ni mbaya? anaumwa nini? na mke wake wa pili alikufa na nini? na sasa nimesikia ana mke wa kiarabu kama wa mshika dau.
mwenye data anipe hapa.
Mbona mwanichanganya? anaye umwa ni Idris Rashid ama Gavana Daudi B.??
The later. Speculation on the former.
Wizara ya afya inatuambia kiujumla watu 7 katika kila 100 hapo Bongo wana ngoma, na hii inatofautiana sehemu hadi sehemu. Dar nasikia ni 12%, na huko Makete inafika hadi 16%. Sasa katika nchi yenye watu zaidi ya milioni 35, tukianza kuorodhesha majina ya wenye "ngoma" hatutamaliza leo. Humuhumu JF inawezekana wamo kibao wenye hiyo kitu, mnabisha? Sasa kwa kuwa "ngoma" imeshakuwa sehemu ya maisha yetu (tumeshaizoea, tunazika sana, na hata ukienda clinic ya hiyo kitu kufuatilia dawa zako utakuta wenzio wengi tu), tukate ishu zilizoko mbele yetu kwa sasa. Tuachane na habari ya kuorodhesha sijui nani mkewe alikufa kwa kukonda sana, maana hiyo itakuwa udaku tu!
Kithuku:
Wacha bwana, kama statistics hizo ni kweli, basi tumekwisha. Yaani una maana wenzetu million mbili na nusu hivi pale nyumbani tayari ni waathirika. Na tukichukulia mahesabu aliyotuwekea Bw. Robot hapa JF juzijuzi; tayari wana JF hapa 10,000 wamo. Looo, nenda kapime haraka, ni hatari hiyo.
Kuna watu wana unayanyapa humu nini ?
Mimi nachofahamu Idrisa atakuwa na maadui wengi tu kutokana na msimamo wake,Baadhi ya maadui wake ni
1. Viongozi wa chama cha wafanyakazia Tuico -Tanesco kwa kuwa amewakatia mirija aya Ulaji wao
2.viongozi wa Tanesco waliokuwa wamezoea kula kufyonza Tanesco bila huruma
3.Wanaboard na watu wao wa karibu
4. Wananchi amboa wanadhani kubada kwa bei ya umeme kunasababisha na Dr Idrisa wala sio makosa ya Serikali ya kulibebesha mzigo shirika hilo mzigo wa malipo kwa ajili ya Capacity Charge kwa wazalisha umeme wa dharura .
Hao maadui wanaweza kusema chochote hapa

Reply With Quote
na hii nayo;
Re: Afya ya Dr. Idrisa Rashid Aliye kuwa Gavana ni ??
--------------------------------------------------------------------------------
Mnampa sifa za bure huyo Idrisa, kama anaweza kazi basi atupatie meter zetu ambazo tumelipia miezi zaidi ya sita.
Mwambieni kuna Watanzania wengi tu pesa zao zimechukuliwa kulipia huduma ambayo mpaka sasa miezi inapita hakuna kitu. Yeye
anaona madai ni upande mmoja tu?
Hana tofauti na waliomtangulia, anapoteza muda kugombana na wateja wakubwa huku Tanesco inaendelea kuwanyanyasa wateja wadogo?
wandugu tupime kwa makini inaweza ikawa watu ni kweli mnachafuana humu,bila ya sisi wadau kufahamu