Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

TUNA IMANI NA MHE. SPIKA, KATIBU WA BUNGE – WATUMISHI WA BUNGE Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge wameeleza kuwa wana imani na Spika wa Bunge, Samuel Sitta, ambaye wamemuelezea kuwa ni mtu makini...
0 Reactions
195 Replies
21K Views
I know for sure that there is a connection between the Illuminati and swine flu because of the extensive research that I have done about this obvious hoax.Let me say that even common sense would...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekuwa nafuatilia vipindi vya mahojiano vya TV hapa Tanzania lakini naona katika kipindi ambacho ni cha hali ya chini kabisa ni cha huyu mwandishi wa habari mwandamizi ambaye amekuwa kwenye game...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
Blog ya majjid mjengwa imeshutumiwa vikali baada ya kuweka habari ya mkapa akiwa kijijini kwake mtwara. Habari kamili mnaweza kwenda huko. mjengwa.blogspot,com
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wednesday August 12, 2009 Columnist Cops run a protection racket Adam Lusekelo, 12th August 2009 @ 01:45, For ages the talk in the Dar es Salaam grapevine has been – the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Soma hii katika Michuzi
0 Reactions
3 Replies
2K Views
A woman came out of her house and saw 3 old men with long white beards sitting in her front yard. She did not recognize them. She said "I don't think I know you, but you must be hungry. Please...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mali za Muluzi zakamatwa Malawi Ni magari 44, jumba la biashara TAASISI ya Kuzuia Rushwa nchini Malawi (ACB) imekamata mali za rais wa zamani wa nchi hiyo, Bakili Muluzi, kama dhamana katika...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Je, kuna mwenye data zozote kuhusu hawa Synovate ? Contact...
0 Reactions
7 Replies
10K Views
One Friday morning, As a result of doing things in a hurry, John unknowingly, carried his wife's mobile phone leaving behind his own (they had similar handsets). After he had gone, his wife Jane...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
11th August 2009 Katika kile kinachoonekana kuwa ni maajabu ya aina yake kutokea Bongo, mtu mmoja amenaswa na polisi na kisha kuswekwa mbaroni baada ya kudaiwa kukutwa akila nyama ya...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wananchi wanapopigia kelele ufisadi, siyo kwa dhihaka bali ni kutokana na uchungu walio nao wa rasilmali kuibwa na wachache huku wao ambao ni wengi wakiendelea kughubikwa na umasikini unaopelekea...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sifurahii ajali kutokea lakini nashukuru kwamba wamekutana wenyewe kwa wenyewe sasa sijui nani ni m'babe,shauri zao wenyewe. FFU Dar ajalini Gari moja lililosheheni...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakati tunaelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa Oktoba,2009 na Uchaguzi Mkuu 2010,Sera ya kuzuia Mimba kwa Wanafunzi Mashuleni imefanikiwa?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo Asubuhi nilikuwa naangalia kipindi cha Tuongee nikaona mshiriki mmoja akikandia mashindano ya urembo. Kwamba yanawazalilisha wanawake licha ya viongozi na wanaharakati kuyashabikia, lakini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sumbawanga NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mwantumu Mahiza amewataka wananchi wa kijiji cha Muze wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa kumuombea dua mbaya aliyekuwa mwalimu wa shule...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Mama aua bintiwe kwa kupata mimba Written by Administrator Wednesday, 15 July 2009 15:05 Na Stella Shoo MKAZI wa Kijiji cha Kilemfua Mokala wilayani Rombo, Kilimanjaro...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Waungwana, Kama kuna mtu ana info zaidi za matapeli wanne waliokamatwa jana na polisi jijini dar amwage JF. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Keith R.Griffin,of the 3600 block of Northeast Jeannette Drive,was charged with 10 counts of possession of child pornography after detectives found more than 1,000 child pornographic images on his...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mara nyingi nimeona na kusikia mara tuma neno kwenda no.153.., au 157.., au 158.. n.k. utajishindia hiki mara kile. huu utaratibu unafanyaje kazi? mbona asasi nyingi zimeuchangamkia huu mfumo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom