Wabunge

H

Heri

JF-Expert Member
Aug 28, 2007
244
225
Ninaomba kuuliza,
Katika one calender year , mbunge wa Tanzania anatumia muda gani katika jimbo lake.?
Mbunge anatumia siku ngapi katika session za bunge katika mwaka?
Mbunge anatumia siku ngapi katika kamati za bunge katika mwaka?
Nchi nyingine in comparison , mbunge anatumia muda gani katika kuwahudumia wapiga kura wao?
 
R

Raia

Member
May 9, 2007
57
0

kwa sasa ngoja tufanye utafiti zaidi kwani naskia wameongezewa siku za vikao vya kamati za Bunge, roughly watakuwa hawatumikii majombo yao hata kidogo, kwa mfano, wakikaa wiki 3 dalisalama kwa ajili ya vikao vya kamati, then wakienda makao makuu ya chama na bunge kwa miezi mitatu ya Bunge la bajeti, unadhani hapo kuna muda wa kukaa na wananchi waliomuweka madarakani?
naahidi kufanya utafiti na kujua idadi ya siku wanazokutana kwa vikao
 
Mtaalam

Mtaalam

JF-Expert Member
Oct 1, 2007
1,281
1,225
kwanza kuna wengine hata kwa mwaka tuu kuwepo jimboni mwake n nadra mno sana sana anaenda kwenye sehemu mojawapo ya jimboni mwake kudo a little something and dats it labda mpaka uchaguzi ukaribie tena while kuna milioni za maendeleo ya jimbo lake kila mbunge anatia mfukoni!
mfano jimbo la ilala aende hospitali ya amana tuu pale kutoa vidawa vya elfu kadhaa ndo anahesabu jimbo lake kalimaliza!tahts how things are done mikoani huko
 
Top Bottom