Ugonjwa wa ajabu huoo ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ugonjwa wa ajabu huoo !

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by abuuzahraa, Sep 2, 2009.

 1. abuuzahraa

  abuuzahraa Member

  #1
  Sep 2, 2009
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  KIJANA HUYU AMEKUWA AKITOKWA MACHOZI YA DAMU KWA MUDA SASA WAZAZI WAKE WAMETAFUTA WATAALAMU LAKINI MADAKTARI BINGWA HAWAJUI UGONJWA HUO UNASABABISHWA NA KITU GANI.
  KATIKA MAELEZO YAKE MUATHIRIKA KIJANA WA MIAKA 15 CALVINO KUTOKA JIMBO LA Tennessee, ANASEMA YEYE KASHAZOE NA WASIWASI WAKE MKUU NI KUWA HUENDA AKAKUMBWA NA MAUTI WAKATI WOWOTE.

  SOURCE: http://www.thisislondon.co.uk
   

  Attached Files:

Loading...