Miaka mitatu ya JamiiForums | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka mitatu ya JamiiForums

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Invisible, Sep 1, 2009.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Sep 1, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,099
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  • Kutoka JamboForums (August 2006) kwenda JamiiForums (April 200.
  • Inapata hits zaidi ya 30mil kwa mwezi (August zimefikia 42mil)
  • Imekuwa ranked kama site inayotembelewa zaidi na Graduates na Quantcast
  • Asilimia 67.2 ya wanaoitembelea kwa sasa ni kutoka Tanzania
  • Ina ofisi zake Jijini Dar ambazo zitazinduliwa rasmi mwezi huu (Septemba)
  • Ipo chini ya Jamii Media Inc (iliyosajiliwa Tanzania kama kampuni mwaka 200
  • Haijajitangaza, inajulikana kwa wengi kwa 'word of mouth'
  • Imekuwa listed katika World Big Boards mwaka 2008
  • Kwa wastani mtu hukaa muda wa dakika 16.1 kwa siku ndani ya JF
  • Ina radio yake (Jambo Radio) tangu 2003 yenye International License
  • Wafadhili wake ni wanachama wake na watanzania wachache wanaojitolea japo hawajajisajili bali wanasoma tu.
  Una maoni juu ya nini kifanyike zaidi?

  Yatakayofanyika kuanzia September:

  1. Kuanzisha Live Support Crew ambayo itakuwepo 24hrs ili kumsaidia yeyote mwenye uhitaji wa msaada wa haraka ndani ya JF
  2. Kuajiri moderators maalum watakaokuwa online 24hrs kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa
  3. Kushirikiana na asasi mbalimbali zisizo za kiserikali na za kiserikali katika masuala yote muhimu katika ujenzi wa Taifa
  4. Kuanzisha zawadi maalum kwa watanzania watakaokuwa wanafanya vizuri katika nyanja mbalimbali hasa kisiasa na kiuchumi
  5. Kufuatilia kwa karibu kabisa habari zote zinazohusiana na Uchaguzi 2010 na 2015 ikiwa ni kwa maandishi na picha.
  6. Kutoa huduma ya "Hosting" kwa Tshs 15,000/= kwa mwezi kwa wote wenye kuhitaji huduma ya web hosting
  7. Kuanzisha gazeti huru la JF... Jina kapuni
  Mengine tutafahamishana mbeleni
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Sep 1, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,455
  Likes Received: 28,294
  Trophy Points: 280
  I'm happy to belong to the class of 2006. Tumetoka mbali na tunakoelekea hatujafika bado lakini tutafika tu. Super big ups to all of you who make this thing happen.
   
 3. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Just be happy to be in the number.

  Good work WAKULU WOTE WA JF. God will reward you for the hard and good work you guys are doing each and every days.   
 4. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,625
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  JF iishi milele
   
 5. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2009
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,257
  Likes Received: 856
  Trophy Points: 280
  Long live JF
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,282
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  JAH-GUIDE JF!
  i love you all
   
 7. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,919
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  hongereni sana viongozi wote wa jamiiforums na wanachama kwa pamoja .long live jf.
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 145
  Proudly a member of a new generation---a class of Jamii forums!.. missed the jambo forums as i was still an infant.

  JF is more than a forum, its a school, its a voice, its a leisure, its a family, its a boombastic!!!

  Sometimes our partners hate it... because it is addictive, weak politicians fear it... because it is true and honest; bad guys hate it because it is digs deeper than deep!!!

  .......... But most of all, ITS A MIRROR!!! You just see yourself and gauge right where you belong!!! every feedback here counts!!!

  With a few daring members, JF is like a religion!!!

  I AM BLESSED TO HAVE ACCESS TO THIS FORUM
   
 9. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #9
  Sep 1, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,650
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  .... Fungua njiaaa mtoto kaanza tambaa!

  Hongera JF kwa kufikisha miaka mitatu...!
   
 10. C

  Choveki JF-Expert Member

  #10
  Sep 2, 2009
  Joined: Apr 16, 2006
  Messages: 448
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mafundi mitambo natoa mkono wa hongera!. Kusema ukweli wakati inaanza nilikuwa kidogo nina wasiwasi kuwa je itadumu? Kwani nilishaumwa na nyoka miaka ya awali katika forum nyinginezo (zilizokufa), yaani nilikuwa napata "addiction" ya hizo forum halafu zinajifia! Matokea nabaki naugua peke yangu na kumtesa mama watoto ambaye alikuwa anabaki kuniuguza na kunitafutia dawa ya kuniondolea addiction ya hizo forum!

  Welldone guys,
   
 11. C

  Choveki JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2009
  Joined: Apr 16, 2006
  Messages: 448
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nyani nimegundua kumbe tu kundi moja la vizee vya JF":confused:. Ama tusema ndo vingunge wa JF?
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Sep 2, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,455
  Likes Received: 28,294
  Trophy Points: 280
  Yeah bana...sisi ndo "JF Mtandao" Lol....
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,470
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Sijaelewa zawadi gani unazopanga kutoa hapo, mheshimiwa KIONGOZI. Lakini mi nashauri tungejaribu kusubstitute hizo zawadi kwa wanasiasa (kama ni monetary) zidhamini wanafunzi walau hawa wa sekondari walofanya vyema na kukosa ufadhili kwa namna moja au nyingine.

  Wanasiasa wanazo tuzo zao tayari..kwa kuvuna wasipopanda.
   
 14. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #14
  Sep 2, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Mungu akuzidishie Jamii forums founder Maxence Melo kwa kupewa hekima za ajabu na muumba kuanzisha kitu kama hiki.
  Moderators wote hongereni kwa kazi nzuri mnayofanya,maana kwa namna moja au nyingine nyie ndio mnahakikisha kila kitu kipo sawa.
   
 15. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #15
  Sep 2, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Its a blessing to be a member of this huge beautiful family!
   
 16. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #16
  Sep 2, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,160
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Job well done.........! Let's join our hands (morally & materially) for better and strong JF in the future!
   
 17. M

  Msindima JF-Expert Member

  #17
  Sep 2, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hongereni sana waanzilishi wa hii Forum,nakumbuka nilikua nasoma tu hapo mwanzo ilipokuwa jambo,pia nawapa hongera wakina NyaniNgabu na wengine pia wale ambao ni members tangu ilipoanzishwa mwaka wa 2006,bila kumsahau alienishawishi kujiunga na forum hii ambae ni Crashwise.
  Long Live Jf
   
 18. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #18
  Sep 2, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hongera sana JF
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Sep 2, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mkuu Invisible mbona umesahau wengine hatupo huko tupo kwenye maswala ya dini,michezo, mapenzi n.k je hatupaswi kuzawadiwa? Wengine tunaonekana hatupo lakini tupo fit kwenye maswala hayo.
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  Sep 2, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Shukrani kwa hongera zako lakini mama jitahidi kujipiga piga japo uchangie JF inaendeshwa kwa michango kutoa ni moyo na si utajiri jitutumue mama ili twendelee kuenjoy.
   
Loading...