Nifunguen kwa hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nifunguen kwa hili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bang'a, Sep 2, 2009.

 1. Bang'a

  Bang'a Member

  #1
  Sep 2, 2009
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaman hebu nifumbuen kwa hil. Et, kuna eneo linaitwa uchindile wilaya ya kilombero morogoro, kuna wazungu wamepanda miti fulan, lakin tetes zinasema si mit peke yake kuna madin huko na kuna mabosi yan matopu wanajua hilo dil na wanamegeana kisela.
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Karibu JF

  Bang'a Junior Member
  Join Date: Wed Sep 2009
  Posts: 1
  Thanks: 0
  Thanked 0 Times in 0 Posts

  Acha ziendelee kuwa tetesi jamaa wanapanda miti kama inavyooneka kwenye webpage http://www.greenresources.no/Plantations/Uchindile/tabid/128/Default.aspx
   
 3. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kukufungua wewe ni labda tukuchangie uende shule, usiogope hata kama umezeeka, mimi nitakuchangia raba na mfuko wa madaftari........
   
Loading...