Only in Tanzania LOL!.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Only in Tanzania LOL!....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Binti Maringo, Sep 1, 2009.

 1. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mwee kwa kweli tanzania kibokooooo...yaani mtu wa ofisini hawezikukusaidia mpaka umpe hongo....

  here is the thing right...Nimeenda vizazi na viso nataka wabadilishe something something kwenye birth certificate yangu..nafika reception nakutana na demu..nikamsalimia hello!..akaniambia nataka nini nikamwambia nimkusalimia kwanza....akasema ok shida yako ni nini?nikasema dang whats up with the atitutde?!....then badala ya kunisaidia akaniambia kuwa..since hiyo birth certificvate yangu ilishakuwa issued hawawezi change anything...nikamwambia let me talk to your manager akasema hayupo nikamwambia i will wait...akaniona sturbon...nikamwambia it's not the fact that nipo sturbon ila ni haki yangu you know..upo hapa kusaidia watu kama sisi...akaniambia pandisha juu enda huku kata kule direction hazina kichwa wala mguu...yaani hajamaliza akasema next.....

  ok nikajaribu fuata hizo direction nikawa napotea nikamkuka mkaka nikamuuliza akaniambia ooh panda ngazi nenda juu...nikafika kule nikakutana na demu mwingine tukarudi kule kule tena....nikamwambia matter of fact nataka kuongea na manager...akaniambia mlango ule pale nenda...nikaenda nakutana na baba mmoja ana kitambi hivi nikampa salaam yake then nikamueleza situation kutoka huko chini akacheka kwanza alafu akaniambia how long have you been away nikamuuliza unamaana gani akasema unaonekana hujui taratibu....kisa nitoe hongo nikasema taratibu ni nimezifuata sijui unachoongea akasema Naniliu ya chai mweeh wakati ni haki yangu kweli kweli is this fair?...hahahahaha kusema kweli i laughed at him not with him.....then akaniambia ok njoo kesho kesho imekuwa kesho hadi...nimeshachoka at the end ikabidi tuu nitoe hiyo hongo mweee only in Tanzania......
   
  Last edited: Sep 1, 2009
 2. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kelly, usije kulia lia hapa kama umeshatoa hongo!

  Ni sawa na mtu anaenda kushitaki polisi karepiwa halafu kwenye statement anasema after a while alianza ku enjoy na ku cooperate na kujigeuza geuza! Sasa umekuja kushitaki nini? Aaah! Rudi huko vizazi na vifo kawapoze tena wakutengenezee jina jipya uende unyamwezini kuchukua new social security namba urekebishe credit history issues! Aaaah! Kama kweli umeumia, mtaje huyo meneja au tarishi wa vizazi na vifo.
   
 3. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  assumption!assumption!assumption...nani kakwambia kuwa vizazi na vifo ni kubadilisha jina tuu!....wewe bana upo so negative kila siku....miye sijaja kulia hapa na hata kama nikilia wewe tatizo lako ni nini??......yes himetoa hongo ili niweze kusaidiwa nachotaka na for the record watu wanaobadilisha majina hawafuati process kama zangu wanatumia milango ya nyuma ok!.....

  kama hujapendezewa na nilichoandika then chukua kama ujinyonge!....najaribu kuweka life iwe rahisi kwako...


  alafu read my words ok kama hupendi nachoandika then don;t read or respond sawa kaka......sitaki kusema i hate you maana its a big word ila tuu naomba please stay away maana huwa sikufuatilii ya kwako why unapenda kunichokonoa mimi?......
   
 4. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Dada usikute ulienda na "airs" na u know nyiingii! manake kuna watu wakitoka marekani taabu tupu!
   
 5. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2009
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  pole na punguza hasira,ni kweli hapo vizazi na vifo ndo zao,mimi nshasumbuliwa sana hapo mpaka nikamleta mjeshi ndio wakakimbizana kunisaidia,tanzania noma kweli pole sana
   
 6. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  LOL!...hahahhaha uwiii hapana Nkamagi...yaani eeh ungejua sijaweka kabisa hizo you know.....mimi nilikuwa na act normal kabisa....Mimi mtanzania halisi umeshanielewa.

  you are very right pale bila kumpeleka mtu au kuwapa kitu kidogo hawafanyi kazi...kuna friend of mine aliniambia kuwa alienda wizara ya mambo ya ndani wakati ule wa kubadilisha passport alisafiri ya travel document maana hakupata passport mpya so alitakiwa akachukulie TZ...anasema alizungushwa sana hadi siku anarudi alirudi ya hiyo hiyo travel document yeye alikataa kutoa kitu kidogo kabisa akasema ni haki yake....nikambishia eeh kwend amiye vizazi na vifo deal ikawa hivyohivyo....inakera sana tuu!.....inabidi hiki kitabia kirekebishwe kabisa...
   
 7. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kelly,

  Umekuja kulalamikia tatizo la hongo ukaliweka kwenye baraza la jamii nzima, ndo maana linanihusu. Unapoweka kitu hapa ni cha wote! Huwezi kusema Dilunga unanifuata fuata achana na mada zangu! hahahaaaaaaaa,

  Sasa kama ulitoa hongo, na uli enjoy huduma, unakuja kutuambia sisi ili iweje? Watu wa JF wengi wana frustrations na jinsi nchi yetu inavyoendeshwa, huwezi kuja kujichekesha na mambo yako ya hongo hapa!

  Elewa demographic na general sentiment ya jamvi unalojiunga nalo. Wengi hapa tunachukia ufisadi!

  Hivyo vya "chukua kamba ujinyonge" ni vimipasho mipasho ambavyo havi belong hapa. See, unadhani uko facebook... hahahahaaaa!

  Sipendi "kukuchokonoa" Kelly. Ila ukileta mada hapa ni ya wote... hatuna pairs za washikaji wanaojibizana wenyewe kwa wenyewe hapa. Kama nina la kuchangia kuna ubaya gani nikichangia?
   
 8. 911

  911 Platinum Member

  #8
  Sep 1, 2009
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 761
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  Give me a break,hivi ndani ya JF kuna member anakuja kujichekesha kuwa ametoa hongo???
  WTF?
   
 9. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ok naona unapenda sana kubishana na i am not kwenye mood right now nani kakwambia kuwa nilikuwa happy nilivyotoa hongo?...ndiyo nilivyosema kuwa nilikuwa happy? hebu nionyeshe sehemu niliyosema kuwa nilikuwa "happy kutoa hongo"?.....

  nimesema nimezungushwa sana and at the end of the day since nahitaji nilichofuata ilibidi tuu nitoe hiyo hongo sina jinsi na sina muda tena...so wewe ulitaka nifanyeje niendelee kuzugushwa?au kama una jua njia rahisi niambie kuwa ulitakiwa kufanya this and that....mimi naongelea rushwa makazini na wewe umekazana nilikuwa happy kwa sababu nimetoa hongo....

  duh kazi kweli kweli!.....


  na pia nimetoa hii mada ili kujua kama kuna mtu anajua njia nyingine ya kufanya bila kutoa hongo ataelezea...siye wengine siyo watoto wa wakubwa kama ww mwenzetu sawa....wengine ni watoto wa hohe hahe....ndiyo maana tunaishia kutoa hiyo pesa ya chai....


  oh well i guess kila mtu anaelewa tofauti kama ulielewa hivyo kuwa nilikuwa happy kutoa hongo then be it bro.......
   
 10. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  We unafikiri umepiga your Louie bag for the swagger, them Balenciaga on them pretty feet for popping colors like we in the hood, and them Jackie O shades to top it off with sophisticated class without forgeting them Hermes scarf, just for the hell of it.

  Unafikiri watakuachia, wenyewe wanakwambia hawafanyi kazi ya kanisa.

  Sad.

  Halafu sisi wenyewe tunakuwa enablers.

  Pale anatakiwa kichaa aende makusudi ana warekodi, halafu akishawapata on tape anazusha balaa all hell breaks loose, mikelele ya "mnaniomba rushwa, mnaniomba rushwa".
   
 11. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  jamani Bluray kwani kwend aumevaa hivyo ndiyo inaashiria kuwa una pesa?.....mtu kama anafikiria hivyo he/she is wrong....kila mtu ana work hard anapiga shift mbili mbili ili tuu aweze kupendeza you know....kama ndiyo hivyo basi na wao watafute part time.....

  next time i think nitafanya hivyo lakini hata nikisema nirecord hiyo converstaion then nitapeleka wapi malalamiko yangu?.unless watu wengi wajitokeze kuliko kuwa peke yangu...nitaonekana namna gani....
   
 12. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #12
  Sep 1, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,402
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  Kelly acha hasira,unajua watu tumetofautiana sana,nilipoanza kusoma hii post yako nilianza vutiwa nayo nikijua kuwa wewe ni strong and you can fight for your rights,but finaly umenidissapoint kwakweli,was there any need for you to bribe for your own rights?How many times can you bribe sasa?ulichotakiwa kufanya ni ukaidi kama ulioanza nao kwa yule dada,hivi ni picha gani unatuletea kwenye hii nyumba ya great thinkers?we dont offer some silly credits down here,you should learn from your mistakes!!!!
  "Corruption should not be decorated with any one of us"
  Acha hasira ujifunze mdogo wangu!!!
   
 13. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #13
  Sep 1, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  sasa mchajikobe ningefanyeje?me i need my document ASAP nimezungushwa for 2 weeks now na nina only 2 days left bado nazungushwa.So ningefanyeje niliona sina jinsi tena ikabidi nitoe hongo maana nisingepata tena...nilikuja kufikiria kama rafiki aliyeniambia kuwa wizara ya mambo ya ndani walitaka atoe hongo ili aweze kupewa passport yake na wakati ameshaigharamia na akaja kuondoka bila passport though alikuja collect alivyofika kwenye sehemu yake je mimi ningekuja collect wapi?hakuna vizazi na vifo ubalozini.....umeshanielewa.

  my point is why do one has to suffer wakati ana right zake....yaani mtu hawezi kusaidiwa bila kutoa hongo...i guess walijua i need it so bad ndiyo na huwezi ukaenda ofisini kwa mtu na kummshikisha mkono kwa nguvu na kumwambia do it!...umeshanielewa mpaka hapo lakini.....
   
 14. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #14
  Sep 1, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,402
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  Pole sana kelly nimegundua kuwa it was an urgent stuff,lakini when it comes again you have to ban them,what you have to do is kuorganise na watu wa PCB,uende nao,najua wanazombinu zao kikazi za ku trap walarushwa,unapoamua kutetea haki yako woga weka pembeni,alafu the other thing nikwamba siku zote ukiwa na shida usizianike kiasi kwamba mtoa huduma akagundua,hapo utanyanyaswa tuu!!
   
 15. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #15
  Sep 2, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hivi yanawezekana kutokea mambo kama hayo hapa Tanzania kwani hayo mambo ni kinyume na madili ya Mtanzania.
   
 16. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #16
  Sep 2, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Umenikumbusha mwaka 2005 nilivyokwenda kubadilisha birth certificate yangu kwa kuwa maandishi yalikuwa hayasomeki nikapewa maelekezo kama uliyopewa yaani kupanda mingazi kibao na nilivyofika kwa secretary nikapewa jibu kuwa nirudi kwenye wilaya iliyonipatia hiko cheti then ndo wenyewe wakitume vizazi na vifo, wakati napewa maagizo hayo kuna jamaa pembeni yangu alikuwa akijadili naye ili angalau apunguziwe bei ya hongo aliyoambiwa.

  Mpaka nilipokubaliwa kuonana na mkurugenzi tayari nilikuwa nimeshachoka. Lakini kuna Dada mmoja pale alinionesha ukarimu wa ajabu mpaka leo namkumbuka, manake nilivyoagizwa kwake kutoka kwa mkurugenzi alishughulikia kwa haraka na cheti changu nilikipata baada ya siku mbili tu tena kwa bei halali 2500Tsh badala ya 30,000Tsh nilizokuwa nimeambiwa mwanzoni na maofisa wengine pale.

  Ila sintosahau majibu niliyokuwa napewa na secretary wa Mkurugenzi, yanakera kwa kweli na kama una roho nyepesi unaweza kukata tamaa.
   
 17. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #17
  Sep 2, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kama mimi ndie "mtoto wa mkubwa" na ndio nachukia hongo hii ni ajabu, maana ningeweza kupata hizo haki kwa mikato mikato, na vi memo, na hongo. Sasa wewe "mtoto wa hohe hahe" ndio unakuwa wa kwanza kuja kusema "I am laughing out loud... nimetoa hongo... na kama nimetoa we kinakuuma nini...usinifate fate"! Mtoto wa hohe hahe una afford kununua haki na kusema tusikuingilie! Let's trade places then, maana mimi na huo "utoto wa mkubwa" simudu kununua haki kama wewe wa hohehahe.

  Bottom line is, ukitoa hongo huko na kupata huduma usileta hadithi yako, na wewe fisadi.

   
 18. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #18
  Sep 2, 2009
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  It seems to me that civil servants are trained by the same corrupt teacher. I had a similar experience while trying to renew my passport in Nairobi...Ilibidi ni honge, ndo passport iwe issued. Infact after kuhonga it was ready the following day.
  Infact in my case that civil servant did not spell it out, she expected me to read her mind. Only later one of my brothers told me that, thats what she wanted and i had to pay up.
  Yeah that's the reality
   
 19. kui

  kui JF-Expert Member

  #19
  Sep 2, 2009
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 6,478
  Likes Received: 5,146
  Trophy Points: 280
  Shosti za siku?

  Pole sana kwa mkasa. si ungeniita shosti tukaenda sote...lakini si unajua lakini shughuli yake ingekuwaje kama tungekuwa sote? mimi I would've wanted that a$$ attitude receptionist, tuoneshane attitudes(s). Hana adabu kabisa. Hata mwa'mke mwenzie??!!!...

  Bongo bwana, only one thing works.... "a gun"
   
 20. K

  Kaka Mdogo Member

  #20
  Sep 2, 2009
  Joined: Aug 4, 2008
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kuna tatizo la attitude, ofisi ya RITA imekuwa ni ofisi ya mfano kwa sasa hivi kwa utendaji kaze wake na kwa jinsi gani imekuwa ni free corruption zone. Approach sometimes matter mtu kuku-ignore. Inawezekana kama alivyosema mmoja hapo kulikuwa na mtu kujisikia yeye katoka marekani na mwingine anaishi Tanzania. Hata ukiangalia mada yenyewe ilivyoletwa imeletwa kimarekani. Ukiangalia wachangiaji wa nje unawasikia 'bongo bwana' 'wabongo bwana'!! is as if wao sio wabongo au nchi yao ya Tanzania siyo Bongo. Mtu akienda nje hata miaka mitatu tu akirudi kila kitu anakishangaa utafikiri kazaliwa ulaya. Anataka huduma first class kama yuko ulaya, anataka apewe priority yeye kwanza kama yuko LA.! When you are at Rome..... Lakini ninachotaka kusema si kwamba ofisi ya RITA ni ofisi ya malaika, kwenye msafara wa mamba na kenge wamo, lakini ninachosema ofisi ya RITA ni mfano wa kuigwa sasa hivi. Wameweza kubadili na kuongeza ufanisi wao kwa kiasi kikubwa tokea kipindi ilichobadilishwa na kuwa independent agency. Attitude ya mtu mmoja isichafue jina zima la wakala. sometimes tusifie vilivyo vyetu.
   
Loading...