Vimini makanisani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vimini makanisani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mateso, Sep 1, 2009.

 1. Mateso

  Mateso JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2009
  Joined: Aug 6, 2008
  Messages: 240
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wana JF kuna jambo limekuwa likinisumbua sana kwa siku nyingi. Kila niendapo kanisani huwa najaribu kuangalia dada zetu wanavyovaa na huwa najiuuliza maswali mengi sana. Nashindwa kuelewa kama wanaenda kuuza sura kanisani au wanaenda kusali. Mfano mzuri ni kanisa la chuo kikuu cha Dsm. Hapa kuna mabinti wanaovaa vimini na wanakaa viti vya mbele. Wanapofika huwa wanajitahidi kubana miguu na kuvutavuta vijimini vyao lakini kipindi kinafika wanachia waziii wananika mapaja na viskintight vyao na wengine skintight hazionekani kwa maana watakuwa wameva bikini. Sasa naomba wenye uwezo wa kutoa onyo kwa hawa kina dada watusaidie. Nafikiri makanisa yote yangeweka sheria kwamba ni marufuku mwanamke kuingia kanisani na nguo zinazovuka magoti. Hebu angalia kina mama wa kiislamu wanapoenda msikitini wanajifunga mahijabu na makanga mengi tu. Kwa nini wakristu wasiwe na kanuni na taratibu za mavazi ya kuvaa siku za ibada. Waache kuwatia Ibilisi wachungaji na mapadre kwa kupanua mapaja yao kwenye viti vya mbele. Naomba tusaidiane kupambana na hili. Thanks in advance. May Almighty Father guide you and bless you so that you can come up with good and reasonable ideas on how to handle this damned matter.
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Sep 1, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Wewe nenda kanisani na timiza ajenda yako. Kila mtu anaenda hapo na ajenda yake. Hao akina dada nao wana ajenda yao. Wewe jali ya kwako tu na wala usijali wao wanavaaje. Just leave them alone.
   
 3. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135

  Kwa hiyo wewe unaenda kanisani kuangalia tu wasichana wamevaa nini?
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,315
  Likes Received: 19,463
  Trophy Points: 280
  Wewe mkuu sasa unaenda kanisani kufanya nini? tunajua ndio macho hayana pazia lakini sio kihivo unatakiwa ujizuie some time manake kutakuwa hakuna maana ya wewe kwenda kanisani
   
 5. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  I think inategemea unaenda dhehebu gani...kama kanisa la kiluteri walikataza wanawake/wasicha kwenda kanisani na nguo fupi na kunakuwa na wazee wa kanisa pale mlangoni kurudisha wale wanaovaa nguo fupi....sijui madhehebu mengineyo.....
   
 6. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  katika agano la kale Amri ya sita inasema USIZINI lakini kwenye agano jipya Bw Yesu anasema ukitamani tu, bac umeshazini, kwa hiyo bwana mkubwa zambi haina eneo ukifanyia kanisani au ****** ni sawa tu, kama kero yako ni kimini kwa nini iwe issue kanisani, ina maana uko unakotembea uwaonangi na vimini, kama kwako ni dhambi kuvaa kimini kwa nini dhambi hiyo iwe kanisani tu,
  jipange ulete hoja yako vizuri
   
 7. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #7
  Sep 1, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ni kweli maneno yako, naongezea hapo... Ukitazama na kutamani, umezini...!

  Lakini vipi yule mwenye kumtamanisha mwingine... mpaka yule mtazamaji akajikuta akitamani kwa kule kutamanishwa na mtamanishaji!?

  Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa
  mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani;
  1Tim 2:9
   
  Last edited: Sep 1, 2009
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mimi huangalia hasa wakati wa kutoka na kushangilia kazi za mikono yake... haijawahi kunisumbua!!! Misa ni zaidi ya kuomba na mungu wako!!! kuna kanafasi muhimu ka-kushukuru na ku-appreciate kazi za mikono yake muumba
   
 9. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Wewe na akili zako zoooote unaenda kanisani kuangali wadada? Sito shangaa kusikia kuwa usiku kucha unashinda kwenye porn webs.

  Hapa huitaji Almight kusaidia kuja na reasonable solution, tatizo ni wewe katafute pschiatrist au alienist akuangalie akili kama zipo sawa. Hilo ndio tatizo lako.

  It just pathetic mind.

  Your name fits your description, MATESO. Inaoneka kuwa unateseka sana.
   
 10. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #10
  Sep 2, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Sawa kabisa inatakiwa ujizuie. Kwa maana hiyo kama watu wataingia kanisani wakiwa uchi kabisa utasema kila anaenda kanisani kusali, sasa huoni uvaaji huo unakuwa kikwazo kwa wengine?
   
 11. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Suala siyo makwazo tu ya huo uvaaji. Suala hapa ni kwamba uvaaji wa namna hiyo haustahili Kanisani kwa sababu Kanisa ni NYUMBA ya Mungu. Watu wanaoenda hapo lazima waende kwa ADABU na UCHAJI WA MUNGU kwani kanisa ni nyumba takatifu ya Mungu. Siyo kilabu cha pombe au ukumbi wa senema. Kumbe mtu anayeingia kaniasani kavaa ovyo anamkosea Mungu kwa nafasi ya kwanza kabisa.

  Kwa nafasi ya pili, labda ndiyo yanakuja hayo makwazo kwa watu wenye kuangaza macho kwa mabinti, jambo ambalo naona wengi mmemkaba koo mleta mada.

  Kumbe tuwe tunawaangalia au hatuwaangalii hao wadada waliovaa vibaya, ijulikane kuwa wanafanya utovu wa nidhamu mbele ya Mungu. Kuvaa nguo fupi kanisani ni machukizo kwa Mungu aliye mtakatifu. Please, tuiheshimu nyumba yake.
   
 12. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #12
  Sep 2, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  watanzania tumezidi kulalamika, mbona nchi za ughaibuni watu wanaenda kanisani na vimini au short pants watu hawalalamiki? Kwani kanisani ulienda kumuomba Mungu au kuangalia watu wamevaaje? Au nyie wanaume waafrika mpo tofauti na wanaume wa huko ughaibuni, au nyie ndio mnajua kuhisi sana mnapoona msichana kavaaa nguo fupi?
  We Muteso kama unaenda kanisani nenda kasali, usiende kuangalia wasichana wamevaaje. Wasichana wengine wanapovaa nguo fupi sio kwamba ili kuwavutia wanaume, ila mwingine nguo fupi ndio anayopenda.
  Mungu anaangalia moyo na sio mavazi, kinachotakiwa ni kuwa na moyo msafi mbele zake.
   
 13. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2009
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mimi kwa namna moja au nyingine namuunga mkono mtoa hoja. Hii ni kwa ajili ya kuwakumbusha ndugu zetu akina dada, JAPO WAJIHESHIMU KATIKA MAVAZI, Kanisani si mahala pa kuuza sura au pa kutafuta mchumba. Dada zetu lazima waelewe kuhusu swala hili, maana mambo ya kusimama mlango na kuwarudi kwa kuwatoa nje ya makanisani si busara. Ila ikifikia huko kwa kweli, itabidi ifanyike. Mapadre na Wachungaji wanakwazika sana kwa hili........

  MADADA ZETU, HABARI NDO HIYO
   
 14. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #14
  Sep 2, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mkuu pole sana kwa yanayokukumba unapoenda kanisani, kimsingi yapo sana sio Lutherani pekee, wala Pentecoste pekee, wala Roman Catholic pekee. Kimsingi ni madhehebu mengi.
  Nilichoshangaa hapa ni kwa wachangiaji kukushambulia na kukusasambua wewe badala ya kutoa ushauri nini kifanyike hawa dada zetu waache kwenda na nguo fupi kanisani. Kwakuwa sasa imefika wakati hawa dada na wachumba na wake zetu wanaenda wamevaa suruali za kubana kanisani. Something which is very bad na kinahitaji kukemewa na kila mtu anayefahamu misimamo na taratibu za kanisa.
  Sidhani kama kwa kuona au kuangalia hili au wanawake waliovaa vimini kanisani ndio kuzini, nakataa.
  Kimsingi naomba tuache kumshambulia mtoa mada ila tuwaambie ukweli hawa wanawake waache kuiga kila kitu cha nje na kukileta hapa na kuharibu misingi mizuri ya makanisa kwenye ibada
  Nawasilisha
   
 15. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #15
  Sep 2, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Acha jazba dada yangu Pretty
  Kemea huyu pepo mbaya ndani ya wanawake wenzako anayewashawishi kuvaa nguo za Casino na Clubs kwenye nyumba za ibada
   
 16. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #16
  Sep 2, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  sasa wewe unataka watu wende makanisani kama wanakwenda misikitini ?watu wanakwenda na wakati.nguo ni kivazi chake mtu binafsi pale anakuwepo kumuabudu mungu wake kwani hujasikia kuwa Gays ni mtu mambo yake binafsi akiwa kanisani anakwenda kuabudu .
   
 17. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #17
  Sep 2, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  hakuna tatizo watu wakienda kanisani kama wanakwenda msikitini kama kufanya hivyo haitamfanya kukmkosea Mungu
   
 18. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #18
  Sep 2, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  hakuna tatizo kama hiyo ndiyo ambayo haitamchukiza Muumba wao
   
 19. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #19
  Sep 2, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mungu wangu waachwe tu,basi na wewe una ajenda yako ya siri!
   
 20. C

  Cool Member

  #20
  Sep 2, 2009
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hii ni mbaya sana. Ni kuporomoka kwa maadili. Wamevaa uchi mtaani na kufanya ufuska wa kutosha mitaani, wakaona kana kwamba Mungu amenyamaza. Watu wameamua kuingiza mambo haya hata makanisani sasa. Dunia imechokaaa mbaya!!! Ni kumdhihaki Mungu
   
Loading...