Yahoo Servers leo Jumanne Usiku kuanzia mida ya saa 3:10 imekuaje?

mcbenfrank

Member
Mar 9, 2006
11
4
Wadau naombeni msaada, eti leo server za yahoo kuanzia mda huo mbona hazirespond? kuna tetesi eti nimeskia kuna technical problem? Wadau naombeni kuuliza eti ni kweli? maana napata kigugumizi kuamini kama nao Yahoo wanaweza kuwa na technical fault....
 
ni kweli, mtandao/tovuti za yahuu au maseva yao yalidonti jana. bwana haya mambo ya ziro na wani (bainari) yaweza yakamdontia yeyote yule, yaani yahuu au guglu au hata wengineo.

mdau - alger - algérie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom