Huu msafala wa simba,swala pia wamo?

Huu msafala wa simba,swala pia wamo?

mchajikobe

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Posts
2,678
Reaction score
1,279
Hii forum yetu wanajamii inabidi tuilinde wenyewe,sababu katika msafala huu naona kunaweza tokea baadhi ya wapinga cc,ili kuharibu tuu status ya haka kautamu ketu,tukiona dalili ya hivi vijiswala ni heri tuviteketeze b4 hawajatuharibia kama kale kautamu,tusirumbane na wala tusibebane,kama tunaona asiyestahili katika huku kujinoma kwetu basi tuwaumbue tuu!!
 
wewe mwenyewe ndio swala kwenye msafara wa simba umeingia juzi hapa umetumwa so hizo pre cautions zako ni unafikintu changia hoja kwa mantiki na misingi acha kubwabwaja maneno kama mtikila JF ni kisima cha fikra pevu watu kama wewe mchaji kobe hatufai hapa.
 
kwenye huo msafara labda hao simba wawe wameshiba..........
 
Back
Top Bottom