Kama unajua kampuni ambyo ailipi pesa za wafanyakazi wake nssf weka hapa na aandika anwani yako upate donge nono kutoka kampuni ya NSSF.ni PM ni kupe line!!!kazi kwenu!!ukiogopa kuweka adress pm m
Nimesikliza matamshi ya viongozi wa serikali wengi kuhusiana na kilimo.Wengi kama sio wote wanaelekea aidha kutoelewa matatizo yanayoikumba sekta ya kilimo au kuyafumbia macho makusudi kwa maslahi...
Date::11/27/2008
CCM yajiandaa kuanza kujipenyeza vyuo vikuu
Salim Said na Zaina Malongo
Mwananchi
WIKI chache baada ya wimbi la migomo na hatimaye wanafunzi wa vyuo vikuu vya umma...
After Mramba, Yona swoop:Three more grand corruption cases lined up for prosecution
In next few weeks or maybe even days
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
THE government has lined up...
All EPA suspects to face trial, says DPP
2008-11-26 11:04:17
By Joyce Kisaka
Director of Public Prosecutions Elieza Feleshi said yesterday his office would prosecute all suspects linked to the...
Rapist father gets life sentence
A man who fathered nine children by raping his two daughters over many years has been jailed for life with a minimum term of 19-and-a half years.
The...
Ilivyokuwa ile sehemu ya kuuliza naona siku hizi haipo tena ,imenibidi niweke hili suali hapa.
Nauliza kuhusu neno "Nyara za serikali" hivi jamani haya ni mambo gani,maana kwanza hili neno...
Hujuma Usalama wa Taifa
na Mwandishi wetu
IDARA ya Usalama wa Taifa imekuwa ikipoteza mamilioni ya fedha kwa ajili ya kulipa ankara za simu za mkononi za watu hewa ambao wamefanikiwa...
Hatimaye watuhumiawa wa The LIST OF SHAME by. Dr. Wilbroad Slaa waanza kuonekana mahakamani.
Mpiganaji Slaa nakupa hongera nimerejea list ile na tuhuma alizo nazo MRAMBA na Yona ndizo hizo hizo...
Mramba,Yona na mafisadi wengine kweli wamepelekwa mahakamani lakini bado hawajahukumiwa. Hata hatufahamu hatima ya mali zao ambazo wamezipata kwa njia za kifisadi.Lakini wapo pia mafisadi wengine...
Wakuu...nimeona niwape tahadhari,, katika kujaribu kufungua tovuti ya daily news (habari leo haina shida) nimekumbana na kirudi, ambacho kwa bahati nzuri anti virus yangu imekiblock.
unaweza...
Mwisho wa vita hauwi mzuri kwa mshindwaji! lakini unakuwa wa furaha kwa washindi hasa waliopigana usiku na mchana. Watu waliotayari kupika pilau na kunywa vileo kwa kushangilia ushindi hata kama...
Date::11/25/2008
Kashfa nyingine yaibuka kuhusu mashine mpya Muhimbili
Jackson Odoyo na Zaina Malongo
Mwananchi
HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) inadaiwa kukusanya Sh10milioni kwa...
Bush praises Kikwete
2008-11-15 11:13:17
By Guardian Reporter
U.S President George W. Bush has made a passionate appeal to the American people to cherish comments made by President...
Mramba,Yona na mafisadi wengine kweli wamepelekwa mahakamani lakini bado hawajahukumiwa. Hata hatufahamu hatima ya mali zao ambazo wamezipata kwa njia za kifisadi.Lakini wapo pia mafisadi wengine...
Nimefuatilia utendaji wa awamu ya nne kwa ukaribu sana tena kwa muda wote.Kwa kweli vitendo hakuna kabisa.Inakuwa kana kwamba viongozi wetu wamepikwa na chuo fulani special cha kudanganya.Lakini...
Nimeandika thread yangu "AND YOU SHALL KNOW THE TRUTH AND THE TRUTH SHALL MAKE YOU FREE" IMEPELEKWA MOJA KWA MOJA KWENYE ARCHIVES.Huku sio rahisi watu kuiona.Naomba 'administration' inipe maelezo.
SHERIA inaruhusu mtu yeyote ambaye ana madai dhidi ya Rais wa nchi kufungua kesi ya madai hayo, ili aweze kupatiwa haki yake.
Ni wazi kuwa mtu anaweza kujiuliza je, inawezekana vipi kwa raia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.