Vya usiku wa manane vitamu

Vya usiku wa manane vitamu

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,787
Reaction score
37,992
Jamani kama ni kijana jitahidi uvizoee
maana unasikia kama unapigana na lusifa na kumshinda hapo mida ya tisa...kumi nanusu
kama mzee jaribu kukumbushia very sweet......
Nawatakia safari njema
 
Jamani kama ni kijana jitahidi uvizoee
maana unasikia kama unapigana na lusifa na kumshinda hapo mida ya tisa...kumi nanusu
kama mzee jaribu kukumbushia very sweet......
Nawatakia safari njema
Vitu gani hivyo mkuu? Au vile mabachela wanavyokosa!
 
Jamani kama ni kijana jitahidi uvizoee
maana unasikia kama unapigana na lusifa na kumshinda hapo mida ya tisa...kumi nanusu
kama mzee jaribu kukumbushia very sweet......
Nawatakia safari njema

Avatar yako inaoneka kama una stress vile
 
sasa mbona umeipeleka jukwaa hili inafaa kweli hapa Pdidy
 
aaaarrghhh,
nimekuja spidi kali nikajua dili si unajua wengine tuko kikazi zaidi,
kumbe unaongelea mambo yetu yaleee!.
 
aaaarrghhh,
nimekuja spidi kali nikajua dili si unajua wengine tuko kikazi zaidi,
kumbe unaongelea mambo yetu yaleee!.

unaziweza kaka nikupe dili la bangi na mirungi moroni(visiwa vya comoro) kila unachopeleka kinarudi mara tano ya ulichonunua uvumilivu tu unahitajika...na kazi ni usiku meli ikiwa inafunga
 
Dah msitutamanishe wengine tushazoea gemu za mchana full joto afu ndo tuwazie hizo za mida hiyo inabidi tufanye fasta tuvute ndani!
 
Game la monie?....halihitaji refa kwani hakuna anayecheza rafu, kila mtu yuko makini na vipimo vya uwanja na hali ya hewa its so user friendly
 
Jamani kama ni kijana jitahidi uvizoee
maana unasikia kama unapigana na lusifa na kumshinda hapo mida ya tisa...kumi nanusu
kama mzee jaribu kukumbushia very sweet......
Nawatakia safari njema

Na hii pia ni Habari Mchanganyiko?
 
unaziweza kaka nikupe dili la bangi na mirungi moroni(visiwa vya comoro) kila unachopeleka kinarudi mara tano ya ulichonunua uvumilivu tu unahitajika...na kazi ni usiku meli ikiwa inafunga

nipe dili, nipm fasta
 
Na ukitaka raha kamili taa iwe inawaka. Chakula cha gizani hakinogi ati!
 
tuliyozoea vya mchana wakati wa jua halafu sasa huyo mtu mwenyewe...uko juuu juu moja haikai mbili wala tatu.. unakopa mpaka reverse wapi...... maaana mnafanya taraaaatiib..coz mkienda kwa spidi ya kawaida hukawiiii kujikuta ghafla nyumba imetulia kube watu washatega au hukawii kusikia kidogo watoto wa jirani wako chini ya dirisha lako.. mara kengine kanagonga gonga mlango hapo ukumbini kutahamaki tanesco wanapiga microphone one 2.. mara washa mara zima... YAAAANI WANANIUDHIIIIIIIIIIIIII>.. dah....duh....dah...mnakuwa kama mnafanya reharse bwana..ahaaa
 
Na ukitaka raha kamili taa iwe inawaka. Chakula cha gizani hakinogi ati!

Kama ulikwepo ambassador gizani soo, kuoa kutamu jamani maana unasogeza tu mkono na kuanza uchokozi, mara umegusa kiuno, mara siju nanihii hahhaa
 
Jamani kama ni kijana jitahidi uvizoee
maana unasikia kama unapigana na lusifa na kumshinda hapo mida ya tisa...kumi nanusu
kama mzee jaribu kukumbushia very sweet......
Nawatakia safari njema

Mkuu samahani wewe ni SHE/HE?
 
Back
Top Bottom