Na Mwandishi Wetu
POLISI Zanzibar imetangaza orodha ya watu saba waliyokutwa wamekufa katika mazingira ya kutatanisha, akiwamo mwanamke aliyeuawa kwa kukatwa shingoni katika Mkoa wa Kusini...
na Mwandishi Wetu
KUMEIBUKA mauaji ya kutatanisha katika Manispaa ya mji wa Zanzibar ambapo katika kipindi cha wiki moja watu sita wamekutwa wamekufa akiwemo mfanyabiashara mmoja mwenye asili...
Hakuna shaka kwamba hali ya Tanzania kwa sasa ni tete,kiuchumi na hata kisiasa.Takwimu tunazopewa za kukua kwa uchumi sisi lolote ni danganya toto.Haingii akilini kwamba uchumi wa nchi ukue halafu...
Nimekuwa mkazi wa Dar kwa muda mrefu na nimekuwa nikishuhudia vipindi mbalimbali vya maisha ya wakazi wake kwa namna ya pekee. Tabia za wananchi hawa au wakazi wa Dar hazitabiliki kiasi cha...
Salaam wakuu,,,,,katika pitapita yangu ndani ya mtandao nimekutana na hii:www.policeforce.go.tz.Kwa kiasi fulani ni nzuri...Hongera[/url] IGP Mwema kwa kuianzisha tovuti hii ambayo kwa kiasi...
TUJIFUNZE kuwawajibisha viongozi wanaozembea majukumu yao. Watanzania lazima tujifunze kukataa uongozi wa ugoi goi kwa sababu ya kuogopana au kutotaka kuonekana tuna kimbelembele.
Hadi nani...
Wadau,
Kuna hii habari ya toka mwaka jana sina uhakika kama ilipita hapa. By the way kwa jinsi mapastor wentu hapa Bongo wanavyoangusha waumini siku hizi naomba mwenye idea hiki kifaa...
Jamaa yangu mmoja anaye mlinzi wa usiku nyumbani kwake, kawaida ya huyu mlinzi huwa anaingia kazini saa moja jioni anatoka saa kuminambili asubuhi ila huwa ana kawaida ya kulala na kusinzia wakati...
Press Assoc. - Tuesday, October 7 04:21 am
Human evolution is grinding to a halt, according to a leading genetics expert.
The gloomy message from Professor Steve Jones is: this is as good as...
For a long time people of Tanzania have taken justifiable pride in their deeply ingrained national mood of tolerance and peacefulness. Indeed, Tanzania, for all its ethnic diversity with more than...
Maafa Tarime!
2008-10-06 16:42:20
Na Waandishi wetu, Tarime
Kampeni za uchaguzi wa mbunge wa Jimbo la Tarime mkoani Mara zimelazimika kusitishwa kwa muda leo asubuhi baada ya maafa makubwa...
UBALOZI mdogo wa Uingereza nchini unatarajia kufungwa Visiwani Zanzibar hivi karibuni kutokana na nchi hiyo kukabiliwa na ukata.
Monday, 22 September 2008
Akizungumza katika hafla ya futari...
Diwani wa kata ya kimara mh ringo tunakuomba na hii ni mara ya mwisho kukuonya ukome kutunyanyasa wananchi wako ukishirikiana na mwenyekiti wa serikali za mitaa mtenga,,,
waziri tunaomba...
Waislamu wana mkakati wa kususia bidhaa mbalimbali za mfanyabiashara maarufu nchini ambaye ananasibisha Uislamu nchini na Ugaidi na kushabikia matumizi ya kondomu na zinaa kupitia kwenye vyombo...
Niko katika nchi za watu , nimekaa nasoma majukwaa mbali mbali ya mitandao ya afrika mashariki lakini haswa nasoma ya kitanzania ninapotoka na kuishi mimi , mengi ya kitanzania yanaongelea shutuma...
Na Richard Bukos
Mtoto wa aliyekuwa Waziri wa Elimu wa zamani Joseph Mungai aitwae Justina Mungai na wenzake saba ambao ni wafanya kazi wa benki Kuu ya Tanzania (BoT), Jana (Ijumaa) walifikishwa...
Haya- Kibunango, Masatu na Mkamap, someni hapa basi jamani mchangie mjadala
Utaifa Unayoyoma
Mafisadi na Wapambe wao mguu juu!
Changamoto kwa kizazi kipya, Watanzania watu wa ajabu...
India imetangaza ni marufuku kuvuta sigara hadharani kuanzia jumatatu ,,mavyuoni shuleni baa na katika ukumbi za disco..mwakyusa tutaweza sie ,,je inasaidia
kwenu wana jf health centre
LEO KATIKA KUPERUUZ PERRUZ MTANDAO WA CNN KWENYE TRAVEL SECTION NIKITAFUTA PA KWENDA LIKIZO HII NIKAONA TANGAZO KUHUSU TANZANIA
Colorado train finds new life in Pennsylvania - CNN.com...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.