Tanzania Tourism Board feki

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,592
29,712
Leo nimepewa sijui niseme cd au dvd inayotangaza utalii wa Tanzania iliyoandaliwa na kutolewa na TTB. haifunguki wala huwezi kusoma hata data moja manually. Nimejaribu ktk devices mbali mbali yaani dvd deck, pc tofauti na laptops gadem haifunguki wala kuautoplay kama walivyosema. na ukifuata masharti ya autoplay waliyoweka inakuja BANG! error. WIZI MTUPU!

Kama hii ndiyo teknolojia wanashindwa kuitumia kwa nini wasiwatafute akina SISI tuwafanyie kazi wanazoshindwa?

Na cd hizi walizigawa ktk maonesho tena kwa wingi. najiuliza umakini wa taasisi hii ktk kutangaza utalii wetu.

je kuna yeyote muathirika wa kadhia hii kama mimi?
 
mimi nshachukua cd zao mwaka huu imekataa kufunguka but last year ilifunguka lakini mambo yaliyomo mle ndani ya cd bora hata isingefunguka...hawa jamaa sijui wanafanya nini wamesoma medicine nini wamevamia fani za wat au??
 
MKuu

nimeshawahi post several threads kuhusu TTB, these guys have serious issues... it all goes to the transformation mpaka kuwa TTB, hakuna capacity mle
Marketing manager ana agenda kama yeye ni service provide - focus number one ni posho na safari - upuzi mtupu
Information centre inafanya kazi kwenye utawala msonge, taarifa inachukua wiki kupata action items - shallow
Inaongozwa na maamuzi ya watawala na fedha wakati it is a customer oriented entity to our tourism - sdhortfalls in our policies and intelligency
i runs operations based on balance sheet, we expect more than than as no proper strategies are carried out
Hizo CD ni mazao ya poor procurement procedure

By the way!! what is their email? website je? online information centre? hotmline?

Wana unit ya research, can anyone guess the impact?

I just feel sorry for some of their employees who are just swimming in the swamp
 
mimi nshachukua cd zao mwaka huu imekataa kufunguka but last year ilifunguka lakini mambo yaliyomo mle ndani ya cd bora hata isingefunguka...hawa jamaa sijui wanafanya nini wamesoma medicine nini wamevamia fani za wat au??

Nimekubali mazee, yaani mpaka ilivyofunguka ukaona bora hata isingefunguka?

Kulikuwa na aibu ya aina gani yarabi mpaka useme hivyo?
 
heheheee, usije kukuta kulikuwa na picha za mikasi!!
 
mimi nshachukua cd zao mwaka huu imekataa kufunguka but last year ilifunguka lakini mambo yaliyomo mle ndani ya cd bora hata isingefunguka...hawa jamaa sijui wanafanya nini wamesoma medicine nini wamevamia fani za wat au??

Kama ukiweza upload hapa basi.
 
tatizo kila kitu kinaendeshwa kiujanja ujanja kwenye nchi yetu.kila kitu kinacholenga kujenga nchi yetu watu wanaona dili.ubunge dili,udiwani dili,urais dili basi tabu tupu.
 
Hahaaaaa, yaani pesa za bodi zitumike kutangaza mikasi??

Kama wakurugenzi wenyewe wameona ndo utalii wenyewe si tufanyeje mkuu...Zaidi ya kupromote na kama wana sample waweke basi kule kwa wakubwa kule..
 
Back
Top Bottom