Usafiri wa Kigoma na Mikoa ya Jirani Mashakani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usafiri wa Kigoma na Mikoa ya Jirani Mashakani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by AljuniorTz, Nov 18, 2009.

 1. AljuniorTz

  AljuniorTz JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2009
  Joined: Jan 6, 2009
  Messages: 544
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kufuatia Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha hapa nchini; Wakazi wa Mkoa wa Kigoma na wale waliojirani na mkoa huo wapo njia panda baada ya barabara kuu ya magari kuingia mkoani humo kupitia KIBONDO - KASULU - KIGOMA kuharibika na kupelekea baadhi ya magari kukwama hasa magari makubwa ya mizigo na abiri. Barabara hiyo ni ya udongo wa mfinyanzi ambayo haina hata changarawe

  Angalia picha hapo chini.

  [​IMG]

  [​IMG]
  Truck imeziba njia baada ya kushindwa kupandisha mlima na kurudi nyuma, sababu ya utelezi.

  [​IMG]

  [​IMG]
  Hapa hakuna safari mtu wangu.

  [​IMG]
  Huyu suka alitaka kuuwa wingi ya kushoto ili akawahi kulala kigoma akitokea Dar, but gari ikatitia udongoni haendi mbele wala harudi nyuma.

  [​IMG]
  No way!!!
  [​IMG]

  Hili soo ni tangu asubuhi ya leo na hadi narusha story jioni hii.
   
 2. AljuniorTz

  AljuniorTz JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2009
  Joined: Jan 6, 2009
  Messages: 544
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ukichunguza kwa makini hizi picha utagundua kwamba sehemu kubwa ya gari zilizokwama ni za mizigo/biashara.
  Watu wa TRA wanakusanya mapato ya kutosha, lakini hii barabara kuu ya kuingilia Kigoma kutoka Dar, Mwanza, Kagera n.k kila msimu wa mvua ni shida tupu (hii ni kwa mujibu wa wakazi wake wanakumba na adha hiyo.

  Wabunge wao Nzansugwanko, na wengineo mnaliona hili???
   
 3. M

  Magezi JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Wabunge wa CCM 90% ni wapumbavu
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  hili ni jambo la kusikitisha kwa serikali ya ccma na wabunge wake kwa ujumla...hapo ndipo unaojua siasa ni nini....kumbe ndio maana ahapa airport kuna vijana unakuta tkt ya ndege inaonyesha siku hiyo ukifika unaambiwa umechelewa baada ya muda wanakuja abiria kama weewe wanaletwa na kijana mmoja amekuwa machachari kama mzanzibar anafanya kazi ya kucuhukua hela za watu na kuwahakikishia usafiri wa ATCL...Huu ni uhuni wa ajbu...mtu mna shida na usafiri bado mtu anataka kuneemeka huko huko wakati umekata tkt ya tar halali.....poleni mpwa...tutawatengenezea daraja
   
Loading...