Sh. 5,000 na 20,000 za fire

vivian

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,749
1,000
Napenda kuuliza! Tanzania kuna magari mangapi?
haya mabilioni wanayokusanya FIRE, kwa kutulazimisha tukate stika ni ya nini?
kama ufisadi ushaonekana kwenye ukusanyaji, je baadae itakuaje?
wangapi wameambiwa walipe 20,000 badala ya 5,000.
Nimesikia polisi imejitoa kwenye hilo swala baada ya kuona ukiritimba uliopo!!
Mkaguzi mkuu wa serikali, Naomba ukae chonjo. Hapa naona kila dalili za ufisadi
Nawakilisha.
Mungu ibariki Tanzania.
 
mimi pia nimeingizwa kwenye mtego!!! ila yangu haitalala nje mangi lazima irudi, nilikua na mark 2 nikalipa 20k.
 
Back
Top Bottom